Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

Wakuu!

Huwa wanasema sharing is caring.

Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi

UTANGULIZI.
Tuanzie na maisha ya chuo, Honestly nimeanza chuo ngazi ya Certificate baadae Diploma na nikamalizia na Degree.

Certificate nili graduate na GPA ya 3.9 (Accumulated GPA)
Diploma nili graduate na GPA ya 4.2 (Accumulated GPA)

Baada ya Kufika degree.
Kipindi namaliza diploma hapa nikajiambia hapa namaliza diploma na utoto wote. Nika apply degree. Degree nikasoma course amaboyo ina husu mambo ya statistic na calculation calculation ivi . Kipindi nasoma nilijua kabisa hapa yaha ni maisha yangu nikifanya mchezo itakuja kuni-cost mwisho. Kipindi naanza mwaka wa kwanza mpaka wa 3 nilikua najaribu ku maintain performance yangu. Nikiwa nasoma target yangu (Mara nyingi wanafunzi wengi wanasoma alafu anajiambia mpaka hapa sikosi B au B+) mm nilijua hii-psychology ya kuji-limit kusema eti nipata B+ au nikifeli sana napata C, nilijua ita ni-affect, sasa mm nilikua na naseama nataka ni-fauli mampaka hili somo mwaka ujao lifutwe lionekani nijepesi.

Hii ilinisaidia performance yangu ya darasani kwa mda wote niliosoma degree. Baada ya hustle zote za course work sijiu UE na mambo field nikamaliza degree

Bahati nzuri, Jitihada na mungu kusaidia nikamaliza degree na GPA 4.0

Baada ya degree.
Baada kumaliza chuo na ki-GPA changu kikajua hapa nipo kazi hipo. Mtaani kila mmtu analia ajira hamana bila ya connection hautoboi. Nikajiambia kama nilitoboa chuo hivyo hivyo mtaani nitatoboa. mwenzi mmoja baadaa ya matokeo kutoka na kujua nimepata GPA ya ngapi ni set-up target ya kazi na industries ambazo nigependa kufanya kazi

1. Financial Institution (Inzi Ni bank bank )
2. DSE - Hapa kwa maana nimesoma analysis alafu pia diploma & certificate nilisoma mambo ya financial securities (Haya mambo hayanipigi chenga)
3. NGOs
4. EAC, SADC, AU na UN

baada ya hapo nikaaza kufanyia kazi sector moja baada ya nyingine. Nikaaza na Financial Institution nilikjiwekea kwamba kwa kila miezi mitatu na deal na sector moja. miezi mitatu ya kwanza nikaaza na kusaka ajira za kwenye ma-bank.

CV/RESUME, Cover latter & Transcript .

Shida kubwa tulio naya graduate wengi hatujia jinsi ya kundaa hivi vitu. watu wengi application zao zinakua rejected kwa sababu ya kushwidwa kuandaa hizi document. Mtu anakua na GPA kubwa lkn CV haijapangiliwa ipo ipo tuu haiana hata formart. font, font-size hazielewezi zimechangwanya changaywa

Baada ya kujua hili nikaaza tafiti ya kujua watu wengine kwenye vyuo huko nje CV na Cover latter zao zinaandaliwaje nikaingia online kikawana download guideline na sample za Cv kutoka vyuo vya nje. kwa hivyo nika download sample kutoka Harvard, Yale, Oxford za PDF na picha za kutosha za structure ya CV

View attachment 2536652

baada ya hapo nikaaza kuandaa ya kwangu, kila kitu word to word , part to part nilikua nazingatia standards (Font, alignment, Parts etc) ambazo nimesoma hapo kwenye izo guideline hapo juu pamoja na sample. Kwa msaada wa technology nikaandaa CV yangu (Dha Sio najisifia lkn hata kama mm ni HR nikejiarili sio kwa hiyo cv).

Cover latter.
Kama ilivyo kua kwa CV hapa kwenye cover latter niliandaa format yangu na baadhi ya samples.

Transcript.
Hapa nili scan transcript zangu pamoja na vyeti, nikaenda mahakama ya wilaya nikapata wakili akanisaidia ku verfy copy zangu na akapiga na mihuri (Nililipa 30,000) baada ya hapo nika scan tena upya vikiwa na mihuri
nika format kwenda .PNG na .PFD nika upload google drive ili iwe rahisi kuvipata.

MSAKO WA AJIRA UKAANZA.
Kumbuka nilisema najipa miezi mitatu kutafuta ajira kwenye sector moja. Haya yole nilifanya nikiwa natata futa ajira kwenye mabank (Miezi mitatu ya kwanza).

Baada ya kukamilisha mckakato wa CV/CL na Tscp. Nikaingia website ya BOT nika download PDF ya benk zote Tanzania zipo kama 34 ivi. Baada ya hapo nika update linkedin profile yangu pia nikaaza ku follow page zote za haya mabank ya huko linkedin (baadhi ya bank hazina)

baada ya linkedIn ivyo ivyo nikaenda twitter nika follow bank ambazo zina active page. Pia baadaya kumaliza twitter nikaja kwenye website bank nyingi kwenye website zao kuna page ya careers sasa mimi nika bookmark izi page kwenye browser nayotumia.

Pia kwa kuongezea kuna baadhia ya bank zinatumia workday.com pia huko nikaenda kufungua account ili niwe updated.

kufanya haya yote lengo langu lilikua ni kupunguza probability kazi kunipita toka kwenye hizo bank.

Application Zikaanza.
Kipindi cha nyuma kidogo nilipewa Tip na mtu wa HR aliaambia kwa experience mara nyingi huwa inawekwa kwa sababu za kupunguza applications akaniambia ukiona experience ni miaka 3 au chini we apply usongope.

Baada kila kitu kumaliza nikabakiza kazi moja. kufatilia post ya hizi bank. cha kwaza niliamua kila napojiunga bando kabla sijaja JF au kuzurura huko mtandaoni lazima nitembelee page kuangalia kama kuna chochote kitu.

1st Hr baada ya Kujiunga naenda linkedin, twitter, page zao, sijui workday naona mara kwa mara wana update. Sijui KCB, EXIM, Absa , Uchumi, Crdb etc nilikua natembelea.

Application zangu za kwanza.
KIli nilipokua naona nafasi ya kazi nayo qualify nilikua na apply. pale mwanzo nilisema nilikua nimeendaa CV na Cover latter tayari. sasa kila niliipokua natakua ku apply nilikua na edit CV na cover latter kuendana na post ninayo omba.

Diploma na degree nunafanya field kwenye kwa hiyo kila post nayo apply nilikia nabadilisha badilisha duties and responsibility, Interest & Hobby, technical skills etc kwenye CV ili ku match na iyo nafasi. mwisho wa siku toka kwenye CV na Coverl latter moja nilijikuta na mpaka CV 8 na cover latter 6 tofauti tofauti.

pia kitu kingine kwenye CV kuna kile kipengele cha Reference kwenye CV zangu zote kile kipengele niliandiaka "Reference Available Upon Request" nilona mara nyingi sio mandatory.

Email Zangu za kwanza.
Aise inakatisha tamaa kuona application yako imakuja rejected ikizingatia umetumia mda wingi na garama zimekutoka. Honestly baadhi ya email nilitumiwa kwamba application yangu haiwezu kua proceed steps za mbele ladba nijaribu wakati mweingine au email hazijibiwi kabisa. Paia baadhi ya application zangu nilifanya kwenye workday au system zao za recruitment bado zipo on review mwezi na kitu, Unajua tu hapa nimesha kuwa rejected.

Majibu ya kukubaliwa yanakuja.
Ukiskia ya mungu mengi ndo huku pamoja na ku apply kazi nilikua na apply post za entry level kama intern (Kwa maani nilikua graduate sina experience ya kazi) . Siku moja nipo online kama kawaida natembelea huko linkedin twitter aise baadae nafungua email, sikuamini bank moja ambayo sio ya ndani ni subsidiary kwa hukwetu wa me approve application yangu wamenitumie email na na attachment natakiwa ni confirm aise sikuamini. Kilicho fatia ni story ya siku nyingine

Hitimisho.
Kwa dunia ya sasa ivi jitahidii sana kutumia mitandao kutafuta nafasi. punguza kutembea offisi baada ya office na CV zako labda kampuni iwe sio kubwa ndo unaweza kwenda na CV zako. pili kuna baadhia ya application nilikua nafanya kwenye baadhi ya taasisi kwenye website yao ya careers wameandika email ya HR wanasema kama una hisi una qualify tuma CV yako , ukikuta ivyo we tuma-tu hujui watafungua lini.

pia kitu-cha msingi kizingatia ni Usitumie CV moja kuomba kazi taasisi tofauti tofaut kuna baadhi yetu yani CV na CL ni hiyo hiyo moja kila anapo apply nabadilisha jina la kampuni na tarehe anatuma. Hili kosa jaribu kiliepuka.

Mwisho kabisa kuwa mvumilivu alafu pia jaribu kua mjanja mjanja. Nimetumia miezi miwili, wiki moja na siku kadhaa plan yangu ku-tiki
x

===========
Sema nimeimiss wanangu wa JF Jukwaa la Tech dhaa sasa ivi mambo ni mengi mda ni mchache, nahisi ndoto na plan zangua za IT zinafifia fifia Pia kuna mda una miss kawati ulivyo kua jobless. Unaingia kazini saa 1 kutaka 12 huko - - sema tupambane wakuu maisha ni haya haya, tusipo pata kwenye ajira tutapata sehemu nyingine.

Naomba kuwasilisha.
thanx
 
Nimesoma huu uzi , nikasema sisomi comments umetisha mkuu.
 
Bora ulietupa maarifa na kututoa tongotongo, kuna jamaa alitudisi sana bila ushauri wowote.
 
Ulisomea nini?
Certificate
Diploma
Degree

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Certificate na diploma nilisoma course moja, nilipofika degree nikabalilisha. Kiujumla ni nilivyosama vina uhusiano mkubwa na mahesabu sio account

hongeraa, hakukuwa na interview ni uliajiriwa moja kwa moja au
Tulifanya mbili mkuu. Aptitude test na oral interview
 
Hongera sana kwa kushare hustles za Mrija wa Asali
Hamna cha asali wala nini. Nilijua ukisha pata kazi umemaliza kumbe kuna kuwahi tena kazini, jana baada ya mtu kupoa unakimbizana na deadline

thanks for sharing your Hussle and what challenging it

Moja ya shida kubwa ilikua ni experience, honestly kazi zipo, watu wengi wanasema ajira haman lkz zipo nyingi tu, changamoto ni experience application nyingi ukiangalia unaona academic upo qualified lkn experience haitoshi

Pia level ya elimu mfano mm faculty niliyo soma kuna mitihani ya bord (kana ilivyo CPA kwa watu wa account) lkn hapa Tanzania hii mitihani hamna lbd mpaka kenya au south africa.

Pia masters ni muhimu, kama mtu unauwezo wa kuendela masters baada ya kumaliza degree bora aonganishe, degree tu itakupa challenge sana
 
Certificate na diploma nilisoma course moja, nilipofika degree nikabalilisha. Kiujumla ni nilivyosama vina uhusiano mkubwa na mahesabu sio account

Tulifanya mbili mkuu. Aptitude test na oral interview
Unaishi bongo au singapore
 
Wakuu!

Huwa wanasema sharing is caring.

Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi

UTANGULIZI.
Tuanzie na maisha ya chuo, Honestly nimeanza chuo ngazi ya Certificate baadae Diploma na nikamalizia na Degree.

Certificate nili graduate na GPA ya 3.9 (Accumulated GPA)
Diploma nili graduate na GPA ya 4.2 (Accumulated GPA)

Baada ya Kufika degree.
Kipindi namaliza diploma hapa nikajiambia hapa namaliza diploma na utoto wote. Nika apply degree. Degree nikasoma course amaboyo ina husu mambo ya statistic na calculation calculation ivi . Kipindi nasoma nilijua kabisa hapa yaha ni maisha yangu nikifanya mchezo itakuja kuni-cost mwisho. Kipindi naanza mwaka wa kwanza mpaka wa 3 nilikua najaribu ku maintain performance yangu. Nikiwa nasoma target yangu (Mara nyingi wanafunzi wengi wanasoma alafu anajiambia mpaka hapa sikosi B au B+) mm nilijua hii-psychology ya kuji-limit kusema eti nipata B+ au nikifeli sana napata C, nilijua ita ni-affect, sasa mm nilikua na naseama nataka ni-fauli mampaka hili somo mwaka ujao lifutwe lionekani nijepesi.

Hii ilinisaidia performance yangu ya darasani kwa mda wote niliosoma degree. Baada ya hustle zote za course work sijiu UE na mambo field nikamaliza degree

Bahati nzuri, Jitihada na mungu kusaidia nikamaliza degree na GPA 4.0

Baada ya degree.
Baada kumaliza chuo na ki-GPA changu kikajua hapa nipo kazi hipo. Mtaani kila mmtu analia ajira hamana bila ya connection hautoboi. Nikajiambia kama nilitoboa chuo hivyo hivyo mtaani nitatoboa. mwenzi mmoja baadaa ya matokeo kutoka na kujua nimepata GPA ya ngapi ni set-up target ya kazi na industries ambazo nigependa kufanya kazi

1. Financial Institution (Inzi Ni bank bank )
2. DSE - Hapa kwa maana nimesoma analysis alafu pia diploma & certificate nilisoma mambo ya financial securities (Haya mambo hayanipigi chenga)
3. NGOs
4. EAC, SADC, AU na UN

baada ya hapo nikaaza kufanyia kazi sector moja baada ya nyingine. Nikaaza na Financial Institution nilikjiwekea kwamba kwa kila miezi mitatu na deal na sector moja. miezi mitatu ya kwanza nikaaza na kusaka ajira za kwenye ma-bank.

CV/RESUME, Cover latter & Transcript .

Shida kubwa tulio naya graduate wengi hatujia jinsi ya kundaa hivi vitu. watu wengi application zao zinakua rejected kwa sababu ya kushwidwa kuandaa hizi document. Mtu anakua na GPA kubwa lkn CV haijapangiliwa ipo ipo tuu haiana hata formart. font, font-size hazielewezi zimechangwanya changaywa

Baada ya kujua hili nikaaza tafiti ya kujua watu wengine kwenye vyuo huko nje CV na Cover latter zao zinaandaliwaje nikaingia online kikawana download guideline na sample za Cv kutoka vyuo vya nje. kwa hivyo nika download sample kutoka Harvard, Yale, Oxford za PDF na picha za kutosha za structure ya CV

View attachment 2536652

baada ya hapo nikaaza kuandaa ya kwangu, kila kitu word to word , part to part nilikua nazingatia standards (Font, alignment, Parts etc) ambazo nimesoma hapo kwenye izo guideline hapo juu pamoja na sample. Kwa msaada wa technology nikaandaa CV yangu (Dha Sio najisifia lkn hata kama mm ni HR nikejiarili sio kwa hiyo cv).

Cover latter.
Kama ilivyo kua kwa CV hapa kwenye cover latter niliandaa format yangu na baadhi ya samples.

Transcript.
Hapa nili scan transcript zangu pamoja na vyeti, nikaenda mahakama ya wilaya nikapata wakili akanisaidia ku verfy copy zangu na akapiga na mihuri (Nililipa 30,000) baada ya hapo nika scan tena upya vikiwa na mihuri
nika format kwenda .PNG na .PFD nika upload google drive ili iwe rahisi kuvipata.

MSAKO WA AJIRA UKAANZA.
Kumbuka nilisema najipa miezi mitatu kutafuta ajira kwenye sector moja. Haya yole nilifanya nikiwa natata futa ajira kwenye mabank (Miezi mitatu ya kwanza).

Baada ya kukamilisha mckakato wa CV/CL na Tscp. Nikaingia website ya BOT nika download PDF ya benk zote Tanzania zipo kama 34 ivi. Baada ya hapo nika update linkedin profile yangu pia nikaaza ku follow page zote za haya mabank ya huko linkedin (baadhi ya bank hazina)

baada ya linkedIn ivyo ivyo nikaenda twitter nika follow bank ambazo zina active page. Pia baadaya kumaliza twitter nikaja kwenye website bank nyingi kwenye website zao kuna page ya careers sasa mimi nika bookmark izi page kwenye browser nayotumia.

Pia kwa kuongezea kuna baadhia ya bank zinatumia workday.com pia huko nikaenda kufungua account ili niwe updated.

kufanya haya yote lengo langu lilikua ni kupunguza probability kazi kunipita toka kwenye hizo bank.

Application Zikaanza.
Kipindi cha nyuma kidogo nilipewa Tip na mtu wa HR aliaambia kwa experience mara nyingi huwa inawekwa kwa sababu za kupunguza applications akaniambia ukiona experience ni miaka 3 au chini we apply usongope.

Baada kila kitu kumaliza nikabakiza kazi moja. kufatilia post ya hizi bank. cha kwaza niliamua kila napojiunga bando kabla sijaja JF au kuzurura huko mtandaoni lazima nitembelee page kuangalia kama kuna chochote kitu.

1st Hr baada ya Kujiunga naenda linkedin, twitter, page zao, sijui workday naona mara kwa mara wana update. Sijui KCB, EXIM, Absa , Uchumi, Crdb etc nilikua natembelea.

Application zangu za kwanza.
KIli nilipokua naona nafasi ya kazi nayo qualify nilikua na apply. pale mwanzo nilisema nilikua nimeendaa CV na Cover latter tayari. sasa kila niliipokua natakua ku apply nilikua na edit CV na cover latter kuendana na post ninayo omba.

Diploma na degree nunafanya field kwenye kwa hiyo kila post nayo apply nilikia nabadilisha badilisha duties and responsibility, Interest & Hobby, technical skills etc kwenye CV ili ku match na iyo nafasi. mwisho wa siku toka kwenye CV na Coverl latter moja nilijikuta na mpaka CV 8 na cover latter 6 tofauti tofauti.

pia kitu kingine kwenye CV kuna kile kipengele cha Reference kwenye CV zangu zote kile kipengele niliandiaka "Reference Available Upon Request" nilona mara nyingi sio mandatory.

Email Zangu za kwanza.
Aise inakatisha tamaa kuona application yako imakuja rejected ikizingatia umetumia mda wingi na garama zimekutoka. Honestly baadhi ya email nilitumiwa kwamba application yangu haiwezu kua proceed steps za mbele ladba nijaribu wakati mweingine au email hazijibiwi kabisa. Paia baadhi ya application zangu nilifanya kwenye workday au system zao za recruitment bado zipo on review mwezi na kitu, Unajua tu hapa nimesha kuwa rejected.

Majibu ya kukubaliwa yanakuja.
Ukiskia ya mungu mengi ndo huku pamoja na ku apply kazi nilikua na apply post za entry level kama intern (Kwa maani nilikua graduate sina experience ya kazi) . Siku moja nipo online kama kawaida natembelea huko linkedin twitter aise baadae nafungua email, sikuamini bank moja ambayo sio ya ndani ni subsidiary kwa hukwetu wa me approve application yangu wamenitumie email na na attachment natakiwa ni confirm aise sikuamini. Kilicho fatia ni story ya siku nyingine

Hitimisho.
Kwa dunia ya sasa ivi jitahidii sana kutumia mitandao kutafuta nafasi. punguza kutembea offisi baada ya office na CV zako labda kampuni iwe sio kubwa ndo unaweza kwenda na CV zako. pili kuna baadhia ya application nilikua nafanya kwenye baadhi ya taasisi kwenye website yao ya careers wameandika email ya HR wanasema kama una hisi una qualify tuma CV yako , ukikuta ivyo we tuma-tu hujui watafungua lini.

pia kitu-cha msingi kizingatia ni Usitumie CV moja kuomba kazi taasisi tofauti tofaut kuna baadhi yetu yani CV na CL ni hiyo hiyo moja kila anapo apply nabadilisha jina la kampuni na tarehe anatuma. Hili kosa jaribu kiliepuka.

Mwisho kabisa kuwa mvumilivu alafu pia jaribu kua mjanja mjanja. Nimetumia miezi miwili, wiki moja na siku kadhaa plan yangu ku-tiki

===========
Sema nimeimiss wanangu wa JF Jukwaa la Tech dhaa sasa ivi mambo ni mengi mda ni mchache, nahisi ndoto na plan zangua za IT zinafifia fifia Pia kuna mda una miss kawati ulivyo kua jobless. Unaingia kazini saa 1 kutaka 12 huko - - sema tupambane wakuu maisha ni haya haya, tusipo pata kwenye ajira tutapata sehemu nyingine.

Naomba kuwasilisha.
Kama hii Novels hujaicopi mahali' Ni uhalisia wako Basi jipigie makofi kuwa ww Ni bonge la mtu mwenye fikra nzuri / mission planner.
 
Hongera kijana, ila boresha uandishi wako, unaandika vibaya sana hasa kwa GPA hiyo-latter. Ulisoma degree gani?
 
Naomba
Nakubaliana na wewe kuhusu njia hizo za kupata kazi. Mtandao una umuhimu mkubwa kukupa nafasi ya kupata kazi. Hasa exposure. Sasa utakuta mtu amekukazania umpe connection wakati kila siku kazi zinatangazwa, internship zipo. Issues mtu anasubiri kazi imfuate nyumbani.
 
Kitu kikubwa nachojua mm kuna baadhi ya masomo yanakupa wigo mpana sana wakupata nafasi hata kwa kujitolea
Mfano masomo ya
Account
Marketing
Ict
Finance
Taxation
Ni rahisi kupata hata post za kazi zao tofauti kabsa na mtu aliesomea
Community development
Gender issues
PPM
Social affairs

Yaan huyu mpka akute post ya kazi ni ngumu
Mpka asubiri utumishi na tamisemi
Au connection yyt ya physical kukimbilia mashirika

Anyway hongera sana mkuuu
 
Back
Top Bottom