Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

thanx
 
Nimesoma huu uzi , nikasema sisomi comments umetisha mkuu.
 
Bora ulietupa maarifa na kututoa tongotongo, kuna jamaa alitudisi sana bila ushauri wowote.
 
Ulisomea nini?
Certificate
Diploma
Degree

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Certificate na diploma nilisoma course moja, nilipofika degree nikabalilisha. Kiujumla ni nilivyosama vina uhusiano mkubwa na mahesabu sio account


hongeraa, hakukuwa na interview ni uliajiriwa moja kwa moja au
Tulifanya mbili mkuu. Aptitude test na oral interview
 
Hongera sana kwa kushare hustles za Mrija wa Asali
Hamna cha asali wala nini. Nilijua ukisha pata kazi umemaliza kumbe kuna kuwahi tena kazini, jana baada ya mtu kupoa unakimbizana na deadline


thanks for sharing your Hussle and what challenging it

Moja ya shida kubwa ilikua ni experience, honestly kazi zipo, watu wengi wanasema ajira haman lkz zipo nyingi tu, changamoto ni experience application nyingi ukiangalia unaona academic upo qualified lkn experience haitoshi


Pia level ya elimu mfano mm faculty niliyo soma kuna mitihani ya bord (kana ilivyo CPA kwa watu wa account) lkn hapa Tanzania hii mitihani hamna lbd mpaka kenya au south africa.

Pia masters ni muhimu, kama mtu unauwezo wa kuendela masters baada ya kumaliza degree bora aonganishe, degree tu itakupa challenge sana
 
Certificate na diploma nilisoma course moja, nilipofika degree nikabalilisha. Kiujumla ni nilivyosama vina uhusiano mkubwa na mahesabu sio account



Tulifanya mbili mkuu. Aptitude test na oral interview
Unaishi bongo au singapore
 
Kama hii Novels hujaicopi mahali' Ni uhalisia wako Basi jipigie makofi kuwa ww Ni bonge la mtu mwenye fikra nzuri / mission planner.
 
Hongera kijana, ila boresha uandishi wako, unaandika vibaya sana hasa kwa GPA hiyo-latter. Ulisoma degree gani?
 
Nakubaliana na wewe kuhusu njia hizo za kupata kazi. Mtandao una umuhimu mkubwa kukupa nafasi ya kupata kazi. Hasa exposure. Sasa utakuta mtu amekukazania umpe connection wakati kila siku kazi zinatangazwa, internship zipo. Issues mtu anasubiri kazi imfuate nyumbani.
 
Kitu kikubwa nachojua mm kuna baadhi ya masomo yanakupa wigo mpana sana wakupata nafasi hata kwa kujitolea
Mfano masomo ya
Account
Marketing
Ict
Finance
Taxation
Ni rahisi kupata hata post za kazi zao tofauti kabsa na mtu aliesomea
Community development
Gender issues
PPM
Social affairs

Yaan huyu mpka akute post ya kazi ni ngumu
Mpka asubiri utumishi na tamisemi
Au connection yyt ya physical kukimbilia mashirika


Anyway hongera sana mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…