Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

Mkuu unavyeti vingi!
Vitatu tu. Sasa najipanga nipate hata ka masters
Kama hii Novels hujaicopi mahali' Ni uhalisia wako Basi jipigie makofi kuwa ww Ni bonge la mtu mwenye fikra nzuri / mission planner.
Tokeaa nilivyo kua chuo nilikua najua nikimaliza ni wapi nitaanzia
Aisee huu Uzi una nondo zenye ujazo wa hatari Sana,kinachonishangaza Ni kwamba Uzi wenyewe hautembei kbsa vijana wamejazana kwenye Uzi wa Rikiboy na story za Umughaka na Analyse.

Vijana njooni huku mkajifunze kitu.
Wana uona sema wanasoma hawa reply
Hongera kijana, ila boresha uandishi wako, unaandika vibaya sana hasa kwa GPA hiyo-latter. Ulisoma degree gani?
Wapi nimekosea mkuu?,
Ni kweli hapa kupata kazi moja kwa moja ni ngumu hasa kwa graduate wapya. Njia nzuri ni kuanza kama intern au entry level baadae ndo unakuja kupanda kuwa staff kamili
Pia kuna baada ya degree kutapa kazi ni msala. Bora mtu uteseka na masomo chuo lbd miaka 4 au 3 baada ya hapo huji kuteseka sana mtaani
 

ukisema kuwa dunia ya sasa kutumia mtandao kuomba kazi ni 100 percent tofauti na kwenda physically unakosea kwasababu unasahau Tanzania haijafika huko kwa kiasi kikubwa.

Kuna fani kama zako unaweza ukapata kazi mtandaoni, ila kuna fani kama zetu ambazo mara ya mwisho naona mtu anapata kazi mlkupitia mitandao nadhani ni 2015.

Sisi unaenda physically na kuongea na HR kisha unampoza kuanzia 50k mpaka 300k inategemea na uzito wa kitengo.Haijalishi ni intern au kazi yenyewe.


Umekosea ku-conclude kuwa kazi zote ni mtandaoni.


Miradi ya serikali, miradi ya wachina, Miradi ya kimkakati.LAZIMA UFIKE SITE NDO KUNA PROBABILITY.

WANAPOST MTANDAONI USHAHIDI. HUPATI

hususani kwenye migodi mikubwa. nina ushahidi na Xperience kwa miaka mingi
 
Kuhusu CV mimi siku-download format kama zako. Ila nili-copy na ku-paste format ya Engineer mwenye masters raia wa uingereza.

Nikiri kusema kuwa SIJAWAHI KUONA STRONG RESUME KAMA YA YULE MZUNGU.

yani baada ya kucopy na paste [emoji23] hiyo CV wakat naomba kazi ilikuwa lazima mtu aingalie mara 2 na akiishika ana uliza una elimu gani?

Maana format imekaa kiprofessional vibaya sana.
 
Ujumbe mzuri, ila siku nyingine usiandike cover latter!
 
Hata upande wa ict, accounting napo ni changamoto au inategemeana na maeneo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
nakutumia mail unisaidie hiyo kitu kaka
 
Hizo njia ulizotumia ndio na mimi nazitumia ,kila mwezi sikosi Interview

Nipo kwenye ajira kwasasa lakini interview zinaniandama Hadi kero

Changamoto yangu sipo vzr kwenye English ya kuongea ,ningekuwa najua kuongea English kwa ufasaha angalau kiasi ,huenda ningekuwa meneja kwenye makampuni makubwa hapa TZ

Nimeshafanya interview makampuni makubwa Hadi ya OIL AND GAS, IT ,TELECOM nafasi kubwa kubwa ,

Changamoto yangu lugha tu

Lakini bado sijakosa ajira ya kujishikiza


HIZO NJIA ULIZOSEMA HAZINA TOFAUTI NA ZANGU HATA KIDOGO



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Mwamba umenipa motisha Sana, pale nilipokuwa nakata tamaa sasa nimepata usajiri wa kusonga mbele. Ahsante sana na Mungu wa Mbinguni akubariki sana!!
 
Kama hutajali tupia format hiyo mkuu.
 
Kama hutajali tupia format hiyo mkuu.
 
Mkuu nakutumia email unitumie hiyo CV mkuu[emoji120]
 
Unaonaje kama una nia ya kuwasaidia watu, ukishare hiyo Cv hata ukafuta majin yako na sensitive information zako?, maana kama wewe ulicopy kwa jamaa nawewe nufaisha wenzio so far hii sio class project ya kumaliza chuo kwamba ukikutwa umeiga ya mwenzio una disco. WEKA CV hiyo uliyoinadi vijana wa copy wakapaste kwao watafute maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…