Unavyosikia maeneo ambayo ni City centre basi maeneo yafutayo;-magomeni, mburahati, kigogo, mabibo, manzeshe, kinondoni, mwananyamala, kijitonyama, sinza, ilala, buguruni, keko, tabata dampo na ubungo haya ni maeneo ya mjini lakin yako rafu sana na duni mno
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuyaboresha
- Maeneo hayo niliyoyataja yatapimwa upya
- Kutajengwa kuanzia majengo yenye urefu wa gorofa tano mpaka 100
- Wale wakazi watapewa gorofa moja na wengie mpaka mbili bure kama sehemu ya fidia
- Barabara ya morogoro road zitakuwa nane
- Barabara ya kigogo road zitakuwa sita
- Kutatengenezwa njia za treni ya umeme ili kuimarisha usafiri wa umma
Hayo maeneo yatakuwa na facility zifuatazo
- Kutakuwa na public garden nyingi sana
- Kutakua na sport centre
- Kutakuwa na zoning sehemu za biashara na makazi ya watu
- Barabara zote zitapigwa lami
- Kutapigwa paving kote hakutakuwa na vumbi
- Majengo yatakuwa na uniformity kama njia ya kuyapendezesha
Haya yanawezekana na Nikiwa Rais yatafanyika
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...
www.jamiiforums.com