Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Ukiona kama nchi huna any construction project fahamu uko katika hali mbaya kuwa na construction project sio kosa ni sehemu ya budget ya nchi zote duniani

Egypt wamejenga mji mpya from scratch unashangaa hichi nachofanya

Mpaka sahivi tumeshatumia Trillion 15 kwenye ujenzi wa reli
Acha hadithi. Weka namba.
 
Acha hadithi. Weka namba.
Kama hutaki kama nchi tuwe na Construction project kama
  • Inajumuisha barabara, maeneo tajwa barabara ni mbovu sana
  • Inajumuisha madaraja, maeneo tajwa madaraja ni changamoto
  • Inajumuisha ku-upgrade makazi ya watu, maeneo tajwa slum ni tatizo
  • Kujenga miundombinu ya maji ili ifikie watu wengi maeneo tajwa hawana miundombinu ya uhakika ya maji
  • Miundombinu ya Internet kama fiber hayo maeneo hayana mtandao mzuri wa fiber
Kwenye hiyo proposal hivi vitu nilivyovitaja vipo alafu hutaki tuwe na construction project mbona ni kituko
 
Nishawahi kufikiria wazo lako ideally kwakua ni city centre kuwekwe majengo marefu yenye huduma zote za kibinadamu ,sports and entertainment centers ili kuweze ku occupy watu wengi
Kuna watu hata Maji ya kuflash hawatalipia maghorofa yatanuka
 
Kama hutaki kama nchi tuwe na Construction project kama
  • Inajumuisha barabara, maeneo tajwa barabara ni mbovu sana
  • Inajumuisha madaraja, maeneo tajwa madaraja ni changamoto
  • Inajumuisha ku-upgrade makazi ya watu, maeneo tajwa slum ni tatizo
  • Kujenga miundombinu ya maji ili ifikie watu wengi maeneo tajwa hawana miundombinu ya uhakika ya maji
  • Miundombinu ya Internet kama fiber hayo maeneo hayana mtandao mzuri wa fiber
Kwenye hiyo proposal hivi vitu nilivyovitaja vipo alafu hutaki tuwe na construction project mbona ni kituko
Sijasema tusiwe na construction projects.

Nimesema weka hoja kwa namba usipige hadithi tu.

Huelewi wapi?
 
Sijasema tusiwe na construction projects.

Nimesema weka hoja kwa namba usipige hadithi tu.

Huelewi wapi?
Sasa hicho kinachofanyika huko sinza, manzese na sehemu nyingine nilizozitaja si sehemu ya construction project au haujui kule wanaishi binadamu

Wewe ni mtu unayependa ligi na utafanya juu na chini ushinde hata kama ulikuwa hauko sahii kwaheri
 
Sasa hicho kinachofanyika huko sinza, manzese na sehemu nyingine nilizozitaja si sehemu ya construction project
Wewe una matatizo ya akili.

Sijasema tusiwe na construction projects.

Nimesema weka hoja kwa namba usipige hadithi tu.

Huelewi wapi?
 
Wewe una matatizo ya akili.

Sijasema tusiwe na construction projects.

Nimesema weka hoja kwa namba usipige hadithi tu.

Huelewi wapi?
Namba zipi ndo maana kila siku siku nakuambia unapenda ligi za kitoto japokuwa ni mtu mzima unaletaje namba ilihali eneo hata halijapimwa na hata kama limepimwa sio kwa maono yangu
 
Namba zipi ndo maana kila siku siku nakuambia unapenda ligi za kitoto japokuwa ni mtu mzima unaletaje namba ilihali eneo hata halijapimwa
Ukiongelea habari za uchumi bila namba ni sawasawa na kutuonjesha uzuri wa bia kwa mashairi.
 
Wewe endelea kuamini hivyo sio vibaya ni mtazamo wako
Hapana, ni zaidi ya ntazamo wangu.

Vision ya uchumi ina timeline, ina bajeti, ina resources allocation plan, ina return on investment calculations.

Zote hizo zina namba.

Hujaweka namba.
 
Hapana, ni zaidi ya ntazamo wangu.

Vision ya uchumi ina timeline, ina bajeti, ina resources allocation plan, ina return on investment calculations.

Zote hizo zina namba.

Hujaweka namba.
Nawekaje namba ilihali mimi sina cheo chochote serikalini ni mtia nia wa Rais wa Tanzania minaelezea maono yangu kitu ambacho sio vibaya na sio kosa
 
Back
Top Bottom