Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Hapo ni kufukuza wote na kuwajengea nyumba nje ya mji wakaishi ,serikali ijenge maduka na maofisi yakodishwe wao watapata 1% ya mapato kila mwezi
Mkuu are you serious tunatafuta viongozi wafata katiba alafu unasema hayo haya ikutokee wewe ufukuzwe ni sahihi?
 
Unahisi watu wanaofanya kazi viwandani ndio wanakuwa wameboreshewa maisha,kwasasa viwanda hatuna kwani,hao wanaofanya kazi viwanda vya sasa wameboreshewa vipi maisha yao mzee?🤔

Dubai pale sidhani kama raia wao wanaishi kwa kutegemea viwanda. Ila umeona rasilimali zao namna zimewafanya kuwa matajiri kwa wastani?

Nadhani kuna shida katika mfumo wa mgawanyo wa rasilimali.

Ipo hivi, utajiri ni 100%, kwann kiongozi atengeneze mazingira na sheria ambazo zitamfanya yeye kupata kati ya 5% hadi 10% ya ,mgeni kupata 80% hadi 85% huku raia wenye mali wakipata kati ya 5% hadi 10% ya utajiri wote?

Kwanini isiwe kinyume chake?
Asilimia karibia ya uchumi hata kwa nchi zilizoendelea ni services sector, viwanda inaweza ikawa 15 hivi ila watanzania wengi wamekariri vitu ni ngumu sana kuwabidilisha
 
Ndo njia niliyochagua mbona kama unalazimisha
Wewe tumia hiyo njia ya kuandaa namba
Njia ukiyochagua na inachosema unafanya ni vitu viwili tofauti.

Unapiga hadithi, hujatoa vision ya uchumi.

Hakuna vision ya uchumi isiyo na namba.
 
Asilimia karibia ya uchumi hata kwa nchi zilizoendelea ni services sector, viwanda inaweza ikawa 15 hivi ila watanzania wengi wamekariri vitu ni ngumu sana kuwabidilisha
Service sector ni post industrial. Huwezi kuwa nchi inayoendelea halafu uchumi wako ukawa dominated na service sekta.
 
Service sector ni post industrial. Huwezi kuwa nchi inayoendelea halafu uchumi wako ukawa dominated na service sekta.
Kuna nchi kibao za ulaya hazina viwanda na zina services sector pekee na zimeendelea
Nchi kama Switzerland, Denmark, Luxembourg hawana viwanda na wameendelea sana

Mimi ni muumini wa supply side economics (viwanda) nina nyuzi nyingi sana nimeongelea viwanda labda wewe ndo hujaziona
 
Denmark na Switzerland wamewekeza vibaya mno kwenye viwanda vya madawa na biotech. Hao waswiswi wanalisha dunia chocolate na cheese. We jidanganye hawana viwanda. Luxembourg ni microstate ambayo hutakiwi kuweka kwenye ufananisho.
 
Hivyo ni high tech industries sio sawa na viwanda vya kawaida jaribu kutofautisha

Huwezi fananisha pharmaceutical na kiwanda cha yeboyebo

Industrial power-house ipo China, Korea, Japan, Taiwan na sasa Vietnam na sio Europe

Ulaya na marekani zipo tu ofisi ila production inafanyikia china, Vietnam, Singapore au Korea
 
Chocolate siyo high tech. Ni hivi, nchi kutegemea service sector inabidi iwe tajiri. Na nchi nyingi zimepata utajiri kupitia viwanda. Usione tu nchi zipo kwenye uchumi wa service na wewe ukaiga.
 
Chocolate siyo high tech. Ni hivi, nchi kutegemea service sector inabidi iwe tajiri. Na nchi nyingi zimepata utajiri kupitia viwanda. Usione tu nchi zipo kwenye uchumi wa service na wewe ukaiga.
Nimeshakuambia mimi ni Pro industry
Tanzania kuwa na viwanda vya kawaida ni ngumu sababu hatuna smelter ambazo zinatoa raw material za bidhaa mbalimbali

Mfano ili manufacturing power-house unatakiwa uwe na smelter na refining
Aluminium smelter
Copper smelter
Steel smelter
Petrochemical plant
Natural gas refinery refinery
Crude oil plant
Glass smelter
Paper and pulp
Rear earth refining
Niobium powder
Spinning

Tanzania hatuna hizo primary industry ni ngumu kuzalisha bidhaa kwenda kushindana kwenye soko la dunia sawa unaweza zalisha ila itakuwia vigumu kushindana kwenye soko la dunia
 
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo
  1. Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100
  2. Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper
  3. Madeveloper watajenga gorofa na wale wenye maeneo watapewa floor moja kwenye kila gorofa bure na wataamua nini cha kufanyia
Kwenye hayo maeneo patapimwa na kuwekewa mambo yafuatayo
  • Kutawekewa huduma za maji za 24/7
  • Barabara zote zitapigwa lami
  • Kutapigwa paving hakutakuwa na vumbi
  • Kutakuwa na public garden nyingi
  • Kutakuwa na open space
  • Kutakuwa na sport centre
  • Kutakuwa na zoning sehemu nyingine zitakuwa za biashara na makazi ya watu hakutakuwa na vurugu kama ilivyo sasa
  • Barabara kuu zitatanuliwa mfano barabara ya morogoro itakua na njia nane
  • Kutakuwa na mtandao wa fiber
  • Kutakua na zoning za bar, guest na makazi ya watu changamoto ya sasa hivi ya haya maeneo kila kitu kipo sehemu moja hapa nyumba ya mtu jirani ni bar wanayokesha usiku kucha hili swala halitakuwepo
Faida zake
  • Idadi ya makazi ya watu itaongezeka maradufu tofauti ilivyo sasbea a
Hayo yote yanawezekana vizuri tu

Utagombea kupitia ccm au chauma ?
 
Watawala wanaona Raha sana kuwa na maeneo kama masaki halafu the rest muishi uswazi,
 
unasahau jambo moja kubwa, kwa uchumi gani wa kuyafanya yote hayo? kwa taarifa yako tu kima cha chini cha mshahara tanzagiza ni < laki 5 /mwezi (kabla ya kodi) kwa hiyo wanaolipwa mshahara wa milioni 1 dar/mwezi (kabla ya kodi) ni <5% , hiyo investment ya huko mwananyamala, manzese &co. nani atailipia? kwa uchumi gani?

wakati mwingine naamini watanzagiza wako soo out of touch na hawajui hata how poor and backward tanzagiza is …
Point ya nyongeza hiyo asilimia 95% wengi tunalipwa 300k take home ni 50k baada ya makato yote
 
Nimeshakuambia mimi ni Pro industry
Tanzania kuwa na viwanda vya kawaida ni ngumu sababu hatuna smelter ambazo zinatoa raw material za bidhaa mbalimbali

Mfano ili manufacturing power-house unatakiwa uwe na smelter na refining
Aluminium smelter
Copper smelter
Steel smelter
Petrochemical plant
Natural gas refinery refinery
Crude oil plant
Glass smelter
Paper and pulp
Rear earth refining
Niobium powder
Spinning

Tanzania hatuna hizo primary industry ni ngumu kuzalisha bidhaa kwenda kushindana kwenye soko la dunia sawa unaweza zalisha ila itakuwia vigumu kushindana kwenye soko la dunia
Sasa badala ya Rais kujenga maghorofa ya storey 100, fanya nchi ipate hivyo viwanda mama. Uchumi ukikua watu wataboresha mazingira yao na kujenga maghorofa yao wenyewe. Kujenga vitu vya kung'aa nchi za Afrika baada ya uhuru zilifikiri ndiyo maendeleo. Unataka kurudia makosa.
 
Kila jambo lina-umuhimu wake smelter zitajengwa na magorofa yatejengwa na miundombinu nyingine itajengwa mambo yote yatafanywa kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom