Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Vision yako ni nzuri. Hata hivyo inabidi iwe backed na mahesabu yanayoonesha economic/finacial viability ya huo mradi......hiki ndio Kiranga anakitaka kwako.....
Hizo calculation unazipiga ukiwa kwenye mamlaka sasa hivi minatoa vision na ahadi
 
Kuwatoa na kuwapeleka ghorofani ndiyo kuwahurumia? Rais anatakiwa kupambana kukuza uchumi, uchumi ukikuwa wananchi wataboresha maisha yao, nyumba na mazingira yao wenyewe. Si kuanza kujenga maghorofa Ili mji upendeze.
Okay, anapambana vipi sasa ndio swali? Tupe idea mojawapo ya upambanaji wa rais ambao utawagusa watu wa tandale,kigogo,mburahati ambao maisha yao ni duni ila wapo located katikati ya jiji sehemu ambayo ni potential kwa makazi na shughuli mbali mbali za kiuchumi ila wingi wao pale na msongamano wao sio productive hata kidogo na hakuna wanachotengeneza.
 
Hizo calculation unazipiga ukiwa kwenye mamlaka sasa hivi minatoa vision na ahadi
Ila bado point iko palepale serkali inatakiwa kufikiria sana fursa zinazoweza kuwafanya watu wawe na kipato.

Kama Viwanda,Ujasiliamali,Kuboresha mikopo kwa kutoa riba ndogo nk.

Makazi bila watu wenye uchumi ni kazi bure itakuja kufikia muda yatakuwa magofu kama magorofa mengi ya posta hakuna wapangaji.
 
Wanaomiliki ardhi kwenye hayo maeneo watapewa floor moja bure na itakua mali yao sasa hujaelewa nini
Kuna idea ukiongea na watu walioishi kwenye umasikini muda mrefu inaonekana kama unaongea vitu vya kusadikika na unaongea vitu ambavyo haviwezekani. Ila kiukweli kama taifa tunatakiwa tujipange sana kufuta umasikini katika vichwa vya raia wenzetu. Hapa wanaona kwamba hili jambo haliwezekani hicho ndicho kitu wanaona.
 
Nawekaje namba ilihali mimi sina cheo chochote serikalini ni mtia nia wa Rais wa Tanzania minaelezea maono yangu kitu ambacho sio vibaya na sio kosa
Kuna namba zinapatikana bila ya kuwa na cheo chochote. Ni wewe tu unataka vision ya uchumi isiyo na namba.
 
Ila bado point iko palepale serkali inatakiwa kufikiria sana fursa zinazoweza kuwafanya watu wawe na kipato.

Kama Viwanda,Ujasiliamali,Kuboresha mikopo kwa kutoa riba ndogo nk.

Makazi bila watu wenye uchumi ni kazi bure itakuja kufikia muda yatakuwa magofu kama magorofa mengi ya posta hakuna wapangaji.
Nina nyuzi karibia 50 ambazo zinaongelea mambo mbalimbali mpaka hayo unayosemea
 
Ila bado point iko palepale serkali inatakiwa kufikiria sana fursa zinazoweza kuwafanya watu wawe na kipato.

Kama Viwanda,Ujasiliamali,Kuboresha mikopo kwa kutoa riba ndogo nk.

Makazi bila watu wenye uchumi ni kazi bure itakuja kufikia muda yatakuwa magofu kama magorofa mengi ya posta hakuna wapangaji.
Kitu nachoona ni tatizo katika mfumo wetu wa uchumi ni kwamba serikali kupitia viongozi madalali ni kupenda kugawa fursa za kiuchumi nje za inchi kwa raia wageni kupitia watendaji madalali.

Tazama Dubai. Mfumo waliotumia wa kuzifanya rasilimali zao kitumike kuwapa maendeleo raia wao badala ya serikalini kuwa madalali na kugawana na wageni juu kwa juu huku raia wakipata ahadi na vitu vidogo.

Hapa Tanzania maeneo kama geita,anakuja mgeni,anachukua eneo kuchimba gold, serikali wanamwambia ajenge madarasa ya shule na kuchimba kisima plus jengo la zahanati. Ukipiga vikolokolo hivyo vichache mgeni anatenga tu million za kitanzania 600 tu. Ambayo kwenye dollar inakuja kama dola za Kimarekani 250,000. Sasa unajiuliza tunauza utajiri wa mabilioni ya fedha kwa kubadilishana na mzungu kwa Dollar laki mbili na nusu tu?

Bei ya gold kwenye soko la kimataifa ni around shilingi za kitanzania kati ya 170,000/=(laki moja na sabini) hadi 250,000( laki mbili na nusu) kwa gramu moja ya hiyo gold.

Migodi wanahesabu tani za gold zinaondoka plus udongo unabeba madini mengine ya gharama tu kama kopa,shaba na niko. Haya madini yote yanathamani mara elfu kushinda hizo takataka wanazowadanganyishia wanaichi kwa kujenga zahanati ambayo mwisho wa siku kuendesha huwa inashindikana,visima vinakufa, shule zinachakaa hakuna pesa za kuziboresha.

Sasa unajiuliza, nani alikaa na kunegotiate ma hawa wageni kitaalamu kabisa akaja na upumbavu wa namna hii kama suluhu ya umasikini kwa mtanzania wa kawaida?

Ina maana hawajaona module za uwekezaji za wenzetu ambazo mgeni anakuja ila anondoka na 20% ya maokoto mengine yote anaacha hapo hapo alipokuta rasilimali?🤔

Ni ufala aisee.

Mradi kama wa gesi pale mtwara,inakuwaje Tanzania tuna nunua gesi mtungi wa kg 15 kwa 50,000/= na zaidi?
Kimsingi tulitakiwa mtungi wa gesi wa kg 15 ununuliwe na mtanzania kwa shilingi za kitanzania 10,000, why hadi sasa gharama zipo juu?
 
Kuna watu hata Maji ya kuflash hawatalipia maghorofa yatanuka
Watafukuzwa watakuja wanaoweza kuflush kwani ni wao pekee wanaotakiwa kuishi hapo,wewe nyumba ya kupangisha ukiwa unaiharibu mwenye nyumba huwa anakuacha?
 
Okay, anapambana vipi sasa ndio swali? Tupe idea mojawapo ya upambanaji wa rais ambao utawagusa watu wa tandale,kigogo,mburahati ambao maisha yao ni duni ila wapo located katikati ya jiji sehemu ambayo ni potential kwa makazi na shughuli mbali mbali za kiuchumi ila wingi wao pale na msongamano wao sio productive hata kidogo na hakuna wanachotengeneza.
Weka mazingira mazuri ya viwanda. Wataajiriwa huko.
 
Kuna idea ukiongea na watu walioishi kwenye umasikini muda mrefu inaonekana kama unaongea vitu vya kusadikika na unaongea vitu ambavyo haviwezekani. Ila kiukweli kama taifa tunatakiwa tujipange sana kufuta umasikini katika vichwa vya raia wenzetu. Hapa wanaona kwamba hili jambo haliwezekani hicho ndicho kitu wanaona.
Watanzania wengi wanaaminì kuna siku wataamka watakuta umaskini umeisha wanasahau ni mchakato wa mda mrefu
 
Hapo ni kufukuza wote na kuwajengea nyumba nje ya mji wakaishi ,serikali ijenge maduka na maofisi yakodishwe wao watapata 1% ya mapato kila mwezi
 
Ila bado point iko palepale serkali inatakiwa kufikiria sana fursa zinazoweza kuwafanya watu wawe na kipato.

Kama Viwanda,Ujasiliamali,Kuboresha mikopo kwa kutoa riba ndogo nk.

Makazi bila watu wenye uchumi ni kazi bure itakuja kufikia muda yatakuwa magofu kama magorofa mengi ya posta hakuna wapangaji.
Tuna safari ndefu sana viongozi wenye vision wanaonekana sio wqkuingia huko na baadhi kutumia mfumo wa kula urefu wa kamba yako ,viwanda vinaungwa kwa kesi za ajabu ikiwemo chuki binafsi /fitina za kibiashara, ili tufike huko huu vita inabidi tuipigane
 
Kitu nachoona ni tatizo katika mfumo wetu wa uchumi ni kwamba serikali kupitia viongozi madalali ni kupenda kugawa fursa za kiuchumi nje za inchi kwa raia wageni kupitia watendaji madalali.

Tazama Dubai. Mfumo waliotumia wa kuzifanya rasilimali zao kitumike kuwapa maendeleo raia wao badala ya serikalini kuwa madalali na kugawana na wageni juu kwa juu huku raia wakipata ahadi na vitu vidogo.

Hapa Tanzania maeneo kama geita,anakuja mgeni,anachukua eneo kuchimba gold, serikali wanamwambia ajenge madarasa ya shule na kuchimba kisima plus jengo la zahanati. Ukipiga vikolokolo hivyo vichache mgeni anatenga tu million za kitanzania 600 tu. Ambayo kwenye dollar inakuja kama dola za Kimarekani 250,000. Sasa unajiuliza tunauza utajiri wa mabilioni ya fedha kwa kubadilishana na mzungu kwa Dollar laki mbili na nusu tu?

Bei ya gold kwenye soko la kimataifa ni around shilingi za kitanzania kati ya 170,000/=(laki moja na sabini) hadi 250,000( laki mbili na nusu) kwa gramu moja ya hiyo gold.

Migodi wanahesabu tani za gold zinaondoka plus udongo unabeba madini mengine ya gharama tu kama kopa,shaba na niko. Haya madini yote yanathamani mara elfu kushinda hizo takataka wanazowadanganyishia wanaichi kwa kujenga zahanati ambayo mwisho wa siku kuendesha huwa inashindikana,visima vinakufa, shule zinachakaa hakuna pesa za kuziboresha.

Sasa unajiuliza, nani alikaa na kunegotiate ma hawa wageni kitaalamu kabisa akaja na upumbavu wa namna hii kama suluhu ya umasikini kwa mtanzania wa kawaida?

Ina maana hawajaona module za uwekezaji za wenzetu ambazo mgeni anakuja ila anondoka na 20% ya maokoto mengine yote anaacha hapo hapo alipokuta rasilimali?🤔

Ni ufala aisee.

Mradi kama wa gesi pale mtwara,inakuwaje Tanzania tuna nunua gesi mtungi wa kg 15 kwa 50,000/= na zaidi?
Kimsingi tulitakiwa mtungi wa gesi wa kg 15 ununuliwe na mtanzania kwa shilingi za kitanzania 10,000, why hadi sasa gharama zipo juu?
Ile migodi ya kanda ya ziwa inamiaka zaidi ya 20 lakin ukienda leo kanda ya ziwa kuna umaskini wa kutisha ni mambo ya ajabu

Huyu kiongozi wa dubai baba yake ndo alikuwa na wazo la dubai wakati huo alionekana kama kichaa ila leo wazo la baba yake limetima
 
Weka mazingira mazuri ya viwanda. Wataajiriwa huko.
Unahisi watu wanaofanya kazi viwandani ndio wanakuwa wameboreshewa maisha,kwasasa viwanda hatuna kwani,hao wanaofanya kazi viwanda vya sasa wameboreshewa vipi maisha yao mzee?🤔

Dubai pale sidhani kama raia wao wanaishi kwa kutegemea viwanda. Ila umeona rasilimali zao namna zimewafanya kuwa matajiri kwa wastani?

Nadhani kuna shida katika mfumo wa mgawanyo wa rasilimali.

Ipo hivi, utajiri ni 100%, kwann kiongozi atengeneze mazingira na sheria ambazo zitamfanya yeye kupata kati ya 5% hadi 10% ya ,mgeni kupata 80% hadi 85% huku raia wenye mali wakipata kati ya 5% hadi 10% ya utajiri wote?

Kwanini isiwe kinyume chake?
 
Back
Top Bottom