Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

Wakaazi wengi au karibu asilimia 80 wa hayo maeneo hawana uwezo wa kupata milo 3 hiyo kodi pakishaboreshwa atawalipia nani?
Mfano hai hapo kwenye kota za magomeni wakaazi alisi walishindwa kutoa tu hela za umeme wengi wamehama na kuzipangiza nyumba zao kukwepa gharama za kuhudumia hizo kota..
Tanzania ni masikini sana isee
Wanaomiliki ardhi kwenye hayo maeneo watapewa floor moja bure na itakua mali yao sasa hujaelewa nini
 
Kwamba yakibaki vile ndo uchumi utakua???
Pakibomolewa pakijengwa kote ni fedha inatumika na kutakua na Multiplier effects kubwa na kutapelekea kipato cha wananchi kukua
Yatakuwa magofu kama maghorofa ya N. Korea. Uchumi haulazimishwi kwa kujenga vitu vya kung'aa.
 
Nchi ambayo haina uhaba wa watu, hao waliopo tu wengi hawana maisha mazuri, unaongeza watu ili iweje?
 
Nchi ambayo haina uhaba wa watu, hao waliopo tu wengi hawana maisha mazuri, unaongeza watu ili iweje?
Njia za kuwafanya wawe na maisha mazuri ni nyingi kulingana ila mojawapo ni hii ambayo nime-ipropose kwenye huu uzi
 
Njia za kuwafanya wawe na maisha mazuri ni nyingi kulingana ila mojawapo ni hii ambayo nime-ipropose kwenye huu uzi
Ume propose mambo mengi mwisho uka conclude kuwa

"Faida zake
Idadi ya watu itaongezeka maradufu"

Tanzania haina tatizo la kukosa watu, watu wanaongezeka maradufu hata ndani ya miaka 10 tu. Bila ya kufanya yote hayo.

Kwa nini unafikiri kuongeza watu maradufu ni faida na kunahitaji mambo yote hayo?

Kwa nini unataka kujenga yote hayo ili watu waongezeke maradufu, wakati watu wanaongezeka maradufu tayari bila yote hayo?
 
Idadi ya watu namaanisha makazi ya watu kwenye hayo maeneo yako under-utilized
 
Idadi ya watu namaanisha makazi ya watu kwenye hayo maeneo yako under-utilized
Mkuu,

Mpaka hapo umeshindwa kuelewa tofauti ya kuongeza idadi ya makazi ya watu na kuongeza watu.

Ukiongeza makazi ya watu bila ya kuwapa hao watu shughuli za uchumi wa kumudu gharama za kukaa sehemu hizo utabaki na maghorofa yasiyo na wakazi.

Watu huanza kujenga uchumi kwanza, majumba yanajengwa kwa kutokana na kuimarika kwa shughuli za uchumi.
 
Shughuli za kiuchumi zinatengenezwa kutawekwa zoning za shughuli mbalimbali katika hayo makazi tofauti na sasa hivi

Uchumi unajengwa kupitia sector kama construction au na hili hulijui kwenye budget ni vizuri kama serikali muwe na miradi mtakayojenga ambayo itaboost Multiplier effects na uchumi wa watu
 
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo
  1. Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100
  2. Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper
  3. Madeveloper watajenga gorofa na wale wenye maeneo watapewa floor moja kwenye kila gorofa bure na wataamua nini cha kufanyia
Kwenye hayo maeneo patapimwa na kuwekewa mambo yafuatayo
  • Kutawekewa huduma za maji za 24/7
  • Barabara zote zitapigwa lami
  • Kutapigwa paving hakutakuwa na vumbi
  • Kutakuwa na public garden nyingi
  • Kutakuwa na sport centre
  • Kutakuwa na zoning sehemu nyingine zitakuwa za biashara na makazi ya watu hakutakuwa na vurugu kama ilivyo sasa
  • Barabara kuu zitatanuliwa mfano barabara ya morogoro itakua na njia nane
  • Kutakua na zoning za bar, guest na makazi ya watu changamoto ya sasa hivi ya haya maeneo kila kitu kipo sehemu moja hapa nyumba ya mtu jirani ni bar wanayokesha usiku kucha hili swala halitakuwepo
Faida zake
  • Idadi ya makazi ya watu itaongezeka maradufu tofauti ilivyo sasa
Hayo yote yanawezekana vizuri tu
Naunga Mkono Oja Mkuu, Tena ingewezeka Ukipata hiyo Nafasi hii project Ihanzie ILALA KOTA mchikichini-;Lile Eneo Letu la ILALA KOTA ni hot cake -Tunatakiwa tufanyiwe kama Magomeni KOTA
 
Naunga Mkono Oja Mkuu, Tena ingewezeka Ukipata hiyo Nafasi hii project Ihanzie ILALA KOTA mchikichini-;Lile Eneo Letu la ILALA KOTA ni hot cake -Tunatakiwa tufanyiwe kama Magomeni KOTA
Kote mpaka nyuma ya soko la mchikichini zile nyumba za ajabu ajabu zinatakiwa kuondoka ni aibu kuendelea kuwepo
 
Shughuli za kiuchumi zinatengenezwa kutawekwa zoning za shughuli mbalimbali katika hayo makazi tofauti na sasa hivi

Uchumi unajengwa kupitia sector kama construction au na hili hulijui kwenye budget ni vizuri kama serikali muwe na miradi mtakayojenga ambayo itaboost Multiplier effects na uchumi wa watu
Mpaka sasa unapiga hadithi tu hujaeleza utapata wapi fedha za kufanya yote hayo.

Mpango kama huu hauandikwi kwa maneno tu.

Weka namba hapa. Utapata kiasi hiki huku, utaziwekeza hizi hapa, return on investment kwa muda fulani itakuwa hii, utajenga hiki kwa pesa hizi, etc.

Hizi hadithi za "nitajenga maghorofa ya ghorofa 100" kila kichaa anaweza kupiga.

Weka namba.
 
Ukiona kama nchi huna any construction project fahamu uko katika hali mbaya kuwa na construction project sio kosa ni sehemu ya budget ya nchi zote duniani

Construction project
  • Inajumuisha barabara
  • Inajumuisha madaraja
  • Inajumuisha ku-upgrade makazi ya watu
  • Kujenga miundombinu ya maji ili ifikie watu wengi
Kama kufanya ni kosa na kama hatutakiwi basi unasafari ndefu sana kifikra

Egypt wamejenga mji mpya from scratch unashangaa hichi nachofanya

Mpaka sahivi tumeshatumia Trillion 15 kwenye ujenzi wa reli
 
Back
Top Bottom