Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Kazi ya ****** ni kutoa uchafu lakini ukisha tanuka ****** unavujisha akili na ndicho kinacho kusumbua
 

Sisi tunasubiri matokeo, hayo maelezo andaeni mpeleke kwa hao wakubwa, ICC ndio dawa ya viongozi wa kiafrika hamna ingine! Muwaambie wakishachoma hayo matakataka ndio wanastahili kutolewa roho na kukatishwa maisha yao yani adhabu ya hao watoto ni kifo cha mtutu wa bunduki! Una elimu gani kijana? Utamsindikiza mama yenu na hii insha?
 
Tanzania imeshakuwa nchi ya chama kimoja CCM, sioni hata umuhimu wa chaguzi za maigizo hizi ni upotevu wa kodi ya mwananchi tu, kama vipi wafute tu vyama vingine vyote tujue moja nchi ni ya chama kimoja CCM.
CCM tumeichoka tu, lakini vyama vya upinzani havina sera mbadala wala mkakati tofauti na CCM. Tumeona vyama vya ukombozi vikiangushwa katika baadhi ya nchi kama Kenya, Zambia, malawi, Uganda, Rwanda, DRC, Sudan, Libya, Iraq lakini hata huko hawatufanyi tujutie kuendelea kuwa na CCM madalakani. Wako vilevile au wamedidimia zaidi ya vile. Vyama vya upinzani vingi ni washirika wa wakoloni wetu wa zamani. Eti wakoloni wetu wamegeuka kuwa watu wema kutaka kutusaidia. Ukweli ni kwamba vyama vya upinzani ni madalali wa rasilimali zetu pale vitakapoingia madarakani kwa msaada wa wazungu.
 
Mkuu Kavulata kwa akili zilizokupelekea kuandika upuuzi huu, kuna uwezekano wa asilimia 💯 kuwa utotoni uliathirika kwa muda mrefu na utapiamlo, na katika umri ulionalo kwa sasa unaendekeza sana pombe za mataputapu na supu ya vichwa vya nguruwe.
 
Mumekaririshwa ujinga na huyo ibilisi. Kuna watuwengi tu waliuliwa majumbani kwao hilo hamsemi mna kariri ujinga wa Samia tu. Kuna vijana hapa mjimwema Mwanzawalikuwa wanaangalia mpira kibanda umiza walitolewa nje wakalazwa chini na kupigwarisai za kichwa. Nyie teteni huo ujinga kuna siku kibao kitageuka. Polepole enzi za Magu alikuwa kama wewe unavyotamba kwa Samia.
Kaua vibaka bhana we, hata wewe ungewaua kama wangekuja nyumbani kwako kumbaka mkeo na kuiba baiskeli yako.
 
Mnadanganywa kama mlivyodanganywa kuichoma nchi yetu. Mlidanganywa na mange kuwa jeshi la akina kapteni tesha litakuwa upande wenu na sasa mnadanganywa tena kama mazuzu kuwa ipo ICC pahala fulani itakuja kukamata watu; mara paa 2030 uchaguzi mwingine. Wajinga hawaishi duniani.
 
kama walikuwa wanaingia majumbani kuua watu kama wenda wazimu mbona wewe walikuacha? Acheni utoto. Kama ulichoma kituo cha polisi ukakimbilia nyumbani kwenu kwanini wasikufuate hukohuko nyumbani?. Wengi hawakujua kuwa yale magari mapya ya polisi yana camera kali na miundombinu ya kisasa kabisa ya utambuzi wa wahalifu, walidakwa kama kumbikumbi.
 
Huwa mnalipwa shilingi ngapi uko lumumba ili kujizima data? Nipo tayari kukulipa hiyo hela kila siku ili usiendelee kujidhalilisha.
 
Hoja haipigwi rungu. Ukitaka kumjua kichaa mpe challenge inayomtaka aitatue, atakimbilia matusi badala ya hoja au majibu. Mliposema mtakinukisha oct 29 mlimaanisha mlitaka kujamba?
 
Needless to read the rubbish for trashcan.
 
Una hoja za ******* sana wewe jamaa hivi hata yule shehe majini kada wa CCM na chawa wa dikteta Samia naye alikuwa kwenye maandamano?
 
Wewe unaweweseka sana.
IPO siku utatwambia alipo polepole, Gwanda, soka, Ben sanane na wote mliowateka na kuwauwa.
IPO siku utatwambia namna zile 98 asilimia ilivyopatikan
 

Yaani watekaji na wauaji wasiombe radhi waombe watu ambao ndiyo wana aminiwa na watanzania. Hivi CCM na Chadema ni chama gani cha HAKI!!!! JIDANGANYENI
 
Weka mikataba ya raslimali zetu hadi sasa ukianza na bandari ya Dar, tuone iko chini ya watanzania gani ili tujiridhishe na huu utoto wako wa madalali wa raslimali zetu.
 
Tumia akili kidogo tu, JPM angekuwa hai maana yake SSH asingekuja kuwa rais wa Tanzania.

Bandari haijauzwa tena muda huu mapato yameongezeka zaidi baada ya mianya ya wapigaji kuzuiliwa na mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato kuanza kutumika.

Hizo ngonjera za kupiga dili akina Kikwete na Rostam zimesikika miaka na miaka zinabakia kuwa udaku wa mitandaoni, ukikosa ushahidi hauwezi kueleweka utaishia kuonekana mzushi tu.
 
Hivi nyinyi viumbe vya. CCM mnalipwa nini na muuwaji.wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…