Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Ideot at your best! Rubbish!
 
Sema usemalo chadema imekufa!!!
Kama imekufa mnahangaika nayo ili iweje? Nimezunguka dar yote Leo sijaona bendera ya ccm popote Kama ilivyozoeleka na sijamuona yeyote amevaq sare za ccm! Hili unalizungumziaje Kama siyo ccm imedead since October!
 
Tumekuelewa Lucy Antony Mikael
 
Nonsense! Hiyo dunia nzima unayoisema huwa inakataa dialogue kabla ya uchaguzi na kukumbatia dialogue baada ya uchaguzi?
 
Wewe jamaa enzi hizo nilifikiri na wewe ni mmoja ya watu wenye akili timamu humu jukwaani. Ila kupitia hii mada yako, na zile mada nyingine za hivi karibuni; hakika nimethibitisha nilikuwa sipo sahihi.
 
Hii script imeshindwa! tayari kimenuka ICC hiyoo inapaa na wauaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa raslimali! Kavute tena ya mavi makavu utarudiwa na akili labda!
 
Una hoja za ******* sana wewe jamaa hivi hata yule shehe majini kada wa CCM na chawa wa dikteta Samia naye alikuwa kwenye maandamano?
Bila usenge wenu wa no reforms no election yote yasingetokea, hata sisiminzi mmoja asingepoteza uhai wake Oct 29. Mlisema mtakinukisha, kumbe mlimaanisha kuichoma nchi yetu yote.
 
Kama imekufa mnahangaika nayo ili iweje? Nimezunguka dar yote Leo sijaona bendera ya ccm popote Kama ilivyozoeleka na sijamuona yeyote amevaq sare za ccm! Hili unalizungumziaje Kama siyo ccm imedead since October!
Sasa hivi wanahangaika nayo kwakuwa imegeuka genge la mauaji. Tunachunguza, huenda lilikuwa linahusika na utekaji na mauaji ili kuichafua serikali ya samia kimataifa na kupata uungwaji mkono kimataifa wa kuipundua serikali. Tulieni tu tuko kwenye hatua ya kuunganisha dots.
 
Hii script imeshindwa! tayari kimenuka ICC hiyoo inapaa na wauaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa raslimali! Kavute tena ya mavi makavu utarudiwa na akili labda!
Wewe ni mpwa wake Alinacha? Mnadhani kwenda Ikulu ni kama kwenda kung'oa mihogo shambani? Jengeni chama ili muwe na wapiga kura wengi hata vijijini. Kura nyingi sana haziibiki hata ukiziiba. Chama kikipendwa na watu wote hata wasimamizi wa uchaguzi na mawakala watakuwa upande wenu. No reforms no election imeshindwa vibaya sana kirahisi kwakuwa mliowategemea kwenye no reforms no election hawakukubaliana na nyinyi; hawapo. Mlikuwa na false hopes, fantasy, fallacy, mkundukumweka.
 
H
Bila usenge wenu wa no reforms no election yote yasingetokea, hata sisiminzi mmoja asingepoteza uhai wake Oct 29. Mlisema mtakinukisha, kumbe mlimaanisha kuichoma nchi yetu yote.
Huna akili
 
Haya Kavulana,

Ila mimi ni Mtanzania , sikuona walipohitaji msamaha wangu.

Maana walikuwa jela timu nzima ya uongozi. Mwenyekiti hajatoka mpaka leo.

Mahakama zenu za kupigiwa simu za maelekezo zimewazuia kufanya siasa hadi leo.

Asante kwa kuropoka porojo na uongo wa kitoto.
 
Bila usenge wenu wa no reforms no election yote yasingetokea, hata sisiminzi mmoja asingepoteza uhai wake Oct 29. Mlisema mtakinukisha, kumbe mlimaanisha kuichoma nchi yetu yote.
Hiyo sheria ya maandamano inayoyaruhusu ifuteni basi.

Haina maana.

Na nyinyi kama mngewaruhusu kuandamana na kuwapa ulinzi hakuna mtu angekufa.

Ubabe wa kijinga tu.
 
Sgr imeanza kazi. Nikuwezeshe tiketi uwahi mirembe hospital kabla hali haijawa mbaya. Pole kwa kufuga tumbo badala ya akili!
Ninyi mabwege ya ccm mmegeuza humu kuwa chaka lenu la kunya siyo? Kwa raha zenu! Si mnapata buku saba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…