Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Kwani walipokuwa jela alijitokeza mtu aliyewatangazia wafuasi wao kuwa no reforms no election imefutwa kwakuwa Lissu yuko ndani?. Kwani hata Mnyika na wafuasi woote wa chadema na Gwajima walikuwa jela? Utetezi wa kitoto.
 
Hiyo sheria ya maandamano inayoyaruhusu ifuteni basi.

Haina maana.

Na nyinyi kama mngewaruhusu kuandamana na kuwapa ulinzi hakuna mtu angekufa.

Ubabe wa kijinga tu.
Hakuna sheria inayoruhusu mtu kuharibu mali ya umma na mali za watanzania wenzake hata kama akikasirika namna gani. Utathubutuje kuchoma mahakama eti unadai haki yako. Vipi haki za watu wanaohitaji huduma za mahakama kwenye jengo ulilochoma? Haki yako inapingwa na haki ya umma.

Kufa hakukuepukika, ilikuwa ni lazima kwa wahusika.
 
Sgr imeanza kazi. Nikuwezeshe tiketi uwahi mirembe hospital kabla hali haijawa mbaya. Pole kwa kufuga tumbo badala ya akili!
Ninyi mabwege ya ccm mmegeuza humu kuwa chaka lenu la kunya siyo? Kwa raha zenu! Si mnapata buku saba?
Wahalifu wale wanadakwa mmoja baada ya mwingine. Nchi lazima ilindwe kwa gharama zote. Mali ya umma na wawekezaji wa ndani na nje lazima zilindwe kwa nguvu zote dhidi ya wakora. Makampuni kama Total energies, Puma, Barrick, KAMAKA, Uniliver, nk lazima yalindwe kwa gharama zote. Aliyechoma Lake petrol kesho anaweza kuchoma Total energies na puma ya Ufaransa na uingereza kwa sababu nyingine tofauti; lazima tuwasigine.
 
Akili zako haziko tofauti na huyu msemaji wa serikali ya Uganda ambaye wamezima internet nchi iko gizani na yeye anatumia VPN kimagendo kama Msigwa ila anawaambia watu nchi iko open.

Mtalii gani atakuja kwenye nchi ambayo siku mbili kabla ya uchaguzi inazimwa internet kwa kisingizio ni tishio kwa usalama, na kukiwepo na notisi ya urejeshwaji isiyojulikana ni lini.

Mtalii aje kwenye nchi ambayo shughuli zake 95% ni internet na haipo?


View: https://x.com/i/status/2011385660033151444
 
Are they not among Tanzanians?
 
Hujanielewa ama hutaki kunielewa makusudi.

Serikali hupiga marufuku maandamano yanayoikosoa.

Huku ikiruhusu maandamano yanayoipamba.

Ila ingekuwa inawaruhusu kwa kuzingatia sheria hiyo hiyo, waliposema kabla ya uchaguzi kuomba kuandamana wangepewa utaratibu, eneo la kupita, muda wa kutawanyika na ujumbe wa kuwasilisha. Na hata kulindwa na kusindikizwa.

Nguvu na rasilimali ambayo ingetumika kuwalinda na kuwadhibiti huku wakitembea na kuimba mapambio yao ya haki, ingeokoa, uhai, mali, na kulinda heshima ya nchi.

Sasa mmejifanya vichaa na wababe mkachagua kuuwa.

Serikali inapochagua njia moja tu ya kuzuia na kutumia nguvu, huku ikiendelea kuteka, kuuwa na na kufunga, raia nao wanachagua vurugu.

Chanzo ni Serikali.
 
Kwani walipokuwa jela alijitokeza mtu aliyewatangazia wafuasi wao kuwa no reforms no election imefutwa kwakuwa Lissu yuko ndani?. Kwani hata Mnyika na wafuasi woote wa chadema na Gwajima walikuwa jela? Utetezi wa kitoto.
Ukiwa mkweli, bila kutetea njaa, hebu tuambieni, madai yao katika mabadaliko ya sheria ya uchaguzi wanayodai ni ya haki au umeridhika na hii iliyopo. ?
 
Fanya utafiti kuhusu nani alichoma nchi yetu usikie watajibu nini? Chadema imejimaliza, believe me.
Utafiti tulioufanya ni kuwa mama yako Samia aka Iddi Amin Mama muuaji wa watoto wa kitanganyika, ndiye mwizi wa kura na hili alilifanya baada ya kuona pamoja na kuwafungia wapinzani hata mwenyewe hawezi kushinda, nani angemchagua dubwana kama lile. Yupo pale kuiba pesa zetu ili wajinufaishe na wezi wenzake. Bado mnaota CHADEMA kweli mna shida kwenye makalio yenu wapumbavu ninyi.
 
Kila mtu anakupinga maana yake umeandika pumba.watanzania tunajua ukweli wote tunajua sababu ya yote haya ni wahuni wa CCM.
 
Wewe hujui kitu kuhusu watalii na wazungu. Wazungu na watalii huwa wanajali usalama wao kwanza kuliko vitu vingine (safety first). Kama kuzima internet ni sehemu ya kuhakikisha usalama kwao hawaoni shida kabisa na hilo. Wazungu hawataki kufa lakini waarabu hawaogopi kufa.

Hebu wewe tupe maoni yako tuwashe internet ili watu wengi waathirike au tuzime internet ili watu wengi wawe salama?

Chadema waliwaza nini kuchoma na kuharibu vituo vya mwendokasi kama sehemu ya no reforms no election? Hili lilikuwa shambulio la moja kwa moja kwa wananchi wanaotumia usafiri wa mwendokasi (wananchi); maana Samia hapandi mwendokasi wala treni wala daladala wala mabasi ya mikoani, ilikuwaje mwendokasi uwe sehemu ya shabaha za no reforms no election?. LAZIMA wawaombe radhi wananchi kama wanataka ahueni.
 
Are they not among Tanzanians?
Hawa sio watanzania; kama ni watanzania basi hawana maslahi na Tanzania, bali rasilimali za watanzania. Watu hawa huenda hawana familia zinazotumia huduma zinazotolewa tanzania kama vile mwendokasi, vituo vya polisi, TRA, mahakama, shule, nk. Hii inatupa maswali kuhusu diaspora na watu wanaopigia debe uraia pacha. Kama ni watanzania basi ni wabwia madawa ya kulevya au watu waliolipwa kuharibu kwaajili ya kupata fedha sawa na wale wanaoiba mifuniko ya chemba barabarani au wale wanaoiba mafuta ya transformer kwaajili ya fedha.
 
Watanzania wengi tunajua ukweli tunajua sababu ya yote haya ni wahuni wa CCM
CCM wamefanya nini kwao hadi chadema wachome ofisi za TRA. Kusema hivyo ni sawa na kumvua nguo mama yako kwasabu amekupa maandazi pungufu kuliko dada yako; kwahiyo udai haki yako kwa kumvua nguo kuonyesha hasira zako.
 
Tangu 1992 waliporuhusu vyama vingi, hila, kuiba kura

Kuchoma mali za serikali haikuwa sawa kabisa, na serikali ya Samia kujiandaa mapema kukodisha watu toka Zanzibar na Uganda kuuwa Watanganyika ilikuwa mbaya zaidi.

Kama mlizima internet ili muuwe, mlikosea sana.
 
Kuharibu mali ya umma ni mwiko mkubwa duniani kote. Kule Marekani Osama alipounguza majengo pacha ya WTO Marekani iliua watu wangapi?

View: https://youtu.be/LsGcIkevyHM?si=HtGDMePmBJhV3W3Z
 
Watanzania wengi tunajua ukweli tunajua sababu ya yote haya ni wahuni wa CCM
Huko ni kuichoka amani. Siku CCM ikitolewa madarakani kwa nguvu na walevi kama nyie utakuwa mwisho wa amani yetu tanzania. Libya walisema hivyohivyo hadi wakamuua Gadafi. Uganda wanadhani wanaweza kumuondoa Museveni kilevi na kumweka Bob Wine wakidhani watakuwa bora kuliko wakati wa Mzee museveni, watajidanganya.
 
Ccm itatoka soon imeshakufa kwa sababu chama hai haiwezi kutumia vyombo vya usalama kushinda uchaguzi.Mungu ameshakilaani na kitaanguka soon kwa sababu ya laana na laana ikiondoka nchi itapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…