DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hakika-Japo mipango inaweza kutofautiana malengo.Nadhani uko sahihi na pia ni vyema kutambua keamba kuna mipango inayotaka deadline na mipango smbayo haitaki deadline.
Kuna vitu ambavyo watu tifauti ndio wana influence wewe kufanikiwa,katika mambo kama haya kuweka malengo ni kujiumiza kwa sababu sio kila mtu atafanya kwa spidi unayoitaka.
Ila kuna mipango ambayo unaweza kuiwekea malengo na kutokuiwekea malengo inaweza kuwa ni sababu ya kutokuifanikisha.
Malengo yanahitaji MTU zaidi ya mmoja ili yafanikiwe Ila Mpango unaweza ukautimiza wewe mwenyewe .Hakika-Japo mipango inaweza kutofautiana malengo.
Ndani ya mipango kunaweza kuwa na malengo Ila ndani ya malengo kukawa hakuna mipango .
Kifalsafa Mipango ndo KEY ya maisha Ila malengo sio KEY.
Mfano nikioa huu utaitwa Mpango Ila nikipata watoto hayo ni malengo.
Mpango unaweza kuufanikisha Ila malengo unaweza usiyafanikishe .
Hivyo hata nikipanga kuoa ninabidi niwe tayari kwa ndoa tu Ila ndani ya ndoa tukiishi naweza kuweka malengo nipate watoto wangap na ikitokea sijapata mtoto sitovunja ndoa Ila nitsubiri na nisipopata itabidi niasili mtoto , au niwalee watoto wa ndugu zangu hivyo nitakuwa nimetimiza malengo kupitia watu wengine .
Unachoweza kukikimbiza na kukikamalisha ni kile kipo under ur own control na sio vinginevyo.Faida zipo hasara zipo, ukiweka deadline unakimbizana kukamilisha, unakua na ari ya kutimiza.....bila deadline unakua upo upo tu "nitafanya" "nitaenda" "nitaweka akiba"
COMMITMENT ✌️
Maisha ni haya haya kula bia brother angu.Masaa matatu yaliyopita nilijiwekea malengo sitakunywa pombe tena ila now nahisi kiu 🤔🤔🤔
Dah ni kweli bora mtu usiweke deadline kabisa.
Bonge la uzi mkuu,barikiwa sana!!Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.
Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .
Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.
Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .
Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .
Ili kuondoa stress , amabazo sio za lazima , usiweke deadline kwakuwa ukiweka deadline kuwa this year nataka kupata Ndoa , Kazi , kufungua biashara mpya , kuongeza Elimu n.k
Endapo ikitokea haujatimiza hayo malengo utaanza kujiona umefeli Sana . na stress zitakupata .
So kwakuwa miaka IPO mingi endelea Ku-grind jambo ambalo haujalipata mwaka huu waweza kulipata mwakani na kuendelea.
Na ikitokea malengo yamekuwa unachievable wapatie hata watoto wako , ndugu n.k sio kila kitu unachoamini utakifanikisha lazima wewe ndo ukifanye.
Mfano kuna Mwanasiasa maarufu Sana Tz Ila alimaliza form four na miaka 35 ila Leo hii ni moja ya wanasiasa Nguli na wanaoheshimika .
Means angekata tamaa na angetazama umri wake he couldn't make it.endelea kupambana Ila usiweke deadline KTK malengo yako.View attachment 3445331
🙏🏽🙏🏽🙏🏽.Bonge la uzi mkuu,barikiwa sana!!
Anataka kujibana Kijana wetuMaisha ni haya haya kula bia brother angu.
Malengo yanatakiwa yawe na mambo yafuatayoUnapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.
Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .
Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.
Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .
Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .
Ili kuondoa stress , amabazo sio za lazima , usiweke deadline kwakuwa ukiweka deadline kuwa this year nataka kupata Ndoa , Kazi , kufungua biashara mpya , kuongeza Elimu n.k
Endapo ikitokea haujatimiza hayo malengo utaanza kujiona umefeli Sana . na stress zitakupata .
So kwakuwa miaka IPO mingi endelea Ku-grind jambo ambalo haujalipata mwaka huu waweza kulipata mwakani na kuendelea.
Na ikitokea malengo yamekuwa unachievable wapatie hata watoto wako , ndugu n.k sio kila kitu unachoamini utakifanikisha lazima wewe ndo ukifanye.
Mfano kuna Mwanasiasa maarufu Sana Tz Ila alimaliza form four na miaka 35 ila Leo hii ni moja ya wanasiasa Nguli na wanaoheshimika .
Means angekata tamaa na angetazama umri wake he couldn't make it.endelea kupambana Ila usiweke deadline KTK malengo yako.View attachment 3445331
Ila Malengo ni lazima yawe na deadline pia lazima ujipe goals uziweke kwenye makundi mawili moja short term goal na long term goal.Anataka kujibana Kijana wetu
Ila Malengo ni lazima yawe na deadline pia lazima ujipe goals uziweke kwenye makundi mawili moja short term goal na long term goal.
Katika kitu Mimi niliweza/ ningeweza na kitu ambacho kingenipa maisha kiulaini mbali na elimu basi ni mpira wa miguu kwa Sasa age langu limetembea sana 36+ unazani nikisema nipambanie ndoto haiwezekani tena maana wakati ni ukuta...
Hapo sawa nakubaliana na wewe hivyo Malengo lazima yawe na time frame.Hakika Ila unaweza kutimiza malengo ya kuwa best footballer kwa next generation mwanao n.k
Time frame .Hapo sawa nakubaliana na wewe hivyo Malengo lazima yawe na time frame.
Nilikuambia nioe ili badala ya kushindia pombe basi hiyo moja iwe inabaki humohumo ndani....ukasema kuoa singlemom ni bora wakuue.Ona sasa nimeolewa na mhuni mwenzangu kilasiku ananukia pafyumu mpyaMasaa matatu yaliyopita nilijiwekea malengo sitakunywa pombe tena ila now nahisi kiu 🤔🤔🤔
Dah ni kweli bora mtu usiweke deadline kabisa.