Njia nzuri ya kutimiza Malengo , unapoweka malengo yako usiyawekee deadline

Njia nzuri ya kutimiza Malengo , unapoweka malengo yako usiyawekee deadline

Cha kuongezea kingine ni enlarge your objectives kwa tafsiri isiyo rasmi ni panua malengo yako

Ili uweze kutimiza malengo yako kiurahisi jaribu kuyatanua malengo yako mfano ukiwa na malengo ya kutengeneza milioni 5 kwa mwezi basi jiwekee akilini mwako kuwa unatakiwa kusave milioni 15 kwa mwezi so ile nguvu,akili na passion utakayokuwa nayo kwenye kutengeneza hiyo milioni 15 itakufanya ufikie lengo la milioni 5 kiurahisi
 
Back
Top Bottom