Njia nzuri ya kutimiza Malengo , unapoweka malengo yako usiyawekee deadline

Wasiotaka suguliwa wanafunga pm , mbombo ngafu🥲
🤣🤣Umeona, ndiyo nilitaka nishangae...sema ukikaza hakika wale unawaowafukuzia utawapata...japo naona wanakusumbua kidogo...
But u must be careful....fimbo ya mbali haiui nyoka...
 
Kumbe kuna ambao nawafukuzia na sijui🤣
 
Back
Top Bottom