🤣🤣Umeona, ndiyo nilitaka nishangae...sema ukikaza hakika wale unawaowafukuzia utawapata...japo naona wanakusumbua kidogo...Wasiotaka suguliwa wanafunga pm , mbombo ngafu🥲
Kula pombe mkuu , na tunachati kama kawa🤣
Kumbe kuna ambao nawafukuzia na sijui🤣🤣🤣Umeona, ndiyo nilitaka nishangae...sema ukikaza hakika wale unawaowafukuzia utawapata...japo naona wanakusumbua kidogo...
But u must be careful....fimbo ya mbali haiui nyoka...
🤣🤣🤣🤣Unajua,na uliwapa condition wasikuombe hela mwanzoni mwa penzi ...hupendiKumbe kuna ambao nawafukuzia na sijui🤣
Hahahaha sio kweli bhana , now nina pesa chache tu si unajua nasoma 🤣🤣🤣🤣🤣Unajua,na uliwapa condition wasikuombe hela mwanzoni mwa penzi ...hupendi
Pole sana mkuuHahahaha sio kweli bhana , now nina pesa chache tu si unajua nasoma 🤣
Sante madam , so now umeshaolewa ?😭Pole sana mkuu
Na hiyo avatar yako nahisi inasadifu yaliyomo kweli😄Ni Afande fetty wa mikoroshini
Umemaliza!Malengo yanatakiwa yawe na mambo yafuatayo
1. Yawe yanafikika kwa mujibu wa uwezo wako
2. Yawe challenging kwa mujibu wa uwezo wako
3. Lazima yawe na TIME FRAME
Hapana,nimeandika tu ila nipo penzini mkuuSante madam , so now umeshaolewa ?😭
unataka kusema? 🤣
we toka bwana aaah🤨😆Huyu kabadili I'd tu ni mkongwe bwashe🤣
Min- me ndio Kani introduce kwako😁😊unataka kusema? 🤣
Haaahaa 😂 😁 😄 imekaa njema hiyoooNimewaza kulewa tu dakika kumi mbali na mtu nilie kua na namdai katuma pesa hii ni kama nimeokota🤣🤣🤣🤣
Haaahaa 😂 😆 na tunakumbuka Kila KITUKula pombe mkuu , na tunachati kama kawa🤣
Sema kweriiiii 😂 😁Huyu kabadili I'd tu ni mkongwe bwashe🤣
Nipe mjiiii🤣🤣🤣Ila Dr unabalaa, umesema alitunyima? Aisee..wewe,sijui nikufanyaje
weee akasemaje 🤗Min- me ndio Kani introduce kwako😁😊