mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
Leo hii sisi tunalia kosa ujapiga viatu kiwi...utasikia makamanda makamanda anastahili ngapi huyu kwa nizamu hii,makamanda kwa mkupuo "tisaaaaaaaaa"....unatoka master paredi umejiinamia adi pumbu zinavuja jasho,unaka na silaha AK47(4.9kg) siku9 mchana na usiku unakesha adi chooni unarobu nayo kisa umepiga kiwi hila haijakoa kwa kiatu..bado wanahiana na wewe ikifika tu paredi ya kitaifa unaenda ubao wa matangazo unakuta copro flani flani amechaguliwa kupiga kwata ya week8 kwajili ya maandalizi ya sherehe ya kitaifa..Kweli kabisa ila vijana hawajui tu.
Ndg, mimi mi mfizikia mwenye shahada (digri) ya kwanza (bachlelor of science in physics) nina elimu ya chuo kikuu na nina afya njema na uwezo mkubwa tuu kiakili.Mtaani sijapachoka kama nimevyosema hapo mwanzo, HAPAJANISHINDA KAMWE ! lakini NINAPENDA TUU KUWA MWANAJESHI WA JWTZ.
Kwani miaka ya nyuma watu walipitia JKT ndg ? si hiki kitu kimekuja tuu baada ya watu wengi kukosa ajira za kawaida kwa mtaa na kuamua kwenda jeshini km kimbilio la kuponea ? Ndo maana na mimi nimesema kwamba, sitaki kupitia JKT kwa mara nyingine, ninahitaji tuu kwenda zangu JWTZ, na kama kuna mtu mwenye kuweza kunisaidia katika hili, ninaomba anisaidie.
kwani hakuna whites wanajeshi huko ulaya + usa?Ili ufanikiwe lazma ufanye biashara sasa ww chenga uende kwny ulinzi wako utakuja kujiajir ukiwa na mguu mmoja ndio utaona moto wake c unataka sifa nenda kawe kibaraka wa wanasiasa kuna vyuo vingi sana unasoma mda mfupi tu kwa mfano machine za migodini utakuja kuishi vzr tu ww unawaza kwnda kulinda kwa mkuu wa mkoa yy kalala na familia yake.black people wll remain black people.
Mimi ninachokihitaji ni kuwa mwanajeshi JWTZ jkt ingekuwa ni njia nzuri ya kufikia malengo yangu ya uvunguni mwa nafsi yangu, ningeendamara ya pili kwa kujitolea 7bu nilishapita huko kwa mujibu Wa sheria lkn haipo hivyo.Mimi ni mtu tuu Wa kawaida kama wewe sins makuu ila nahitaji kuwa mjeda niende moja kwa moja JWTZ.Kwani miaka ya nyuma kidogo walipitia huko mkuu na situlikuwa na jeshi La maana tuu mpaka TUKAMCHAKAZA NDULI IDD AMIN DADA WA UGANDA ? (Na jeshi JWTZ la sasa hivi NI matata pia ninalipenda siwezi kulidharau hata kidogo usiniambie mengine ya ajabu hapa).Kwa hiyo ni hivyo Ndgwewe ni nani usipite JKT?Na una vigezo gani kuzidi hao wanaopitia JKT?
Kuna machalii mpk wana masters huko JKT mwaka wa 2 wanasota tu huko sembuse wewe.
Hii ishu ya JKT imekuja tuu miaka ya hivi karibuni ambapo baada ya wasomi wengi kukosa ajira za kawaida mtaani, basi wakawa wengi sana wenye uhitaji kwa kwenda JWTZ sasa ili kupunguza idadi ya wasomi wasio wazalendo watafuta mishahara mikubwa jeshini, ndo huo mfumo Wa kupitia JKT ulivyowekwa, ila miaka ya nyuma kidogo haikuwa hivyo.wewe ni nani usipite JKT?Na una vigezo gani kuzidi hao wanaopitia JKT?
Kuna machalii mpk wana masters huko JKT mwaka wa 2 wanasota tu huko sembuse wewe.
Sawa.Mungu alimpa kila mtu kipaji chake, wewe unaona kuwa mwanajeshi huwezi unaona bora ukawe mkulima, Ni vyema.Mimi ninalilia napenda nahitaji .... +++ kuwa mwanajeshi.Na siku Mungu angenijalia nikawa hivyo, NINGEMTOLEA SADAKA KWA HILI.Basi tuu.Kazi ya kupewa amari na kutekeleza bila kutumia akili. Bora nikalime, mambo ya kukesha lindo! Mie aaaa.
Nina mpango Wa kutafuta co mmojawapo wa kambi mojawapo ya RTS nitamfuata kambini kabisa na vitambulisho vyote asije dhani Mimi ni mtu mwenye nia mbaya, halafu nimuelezee yangu ya moyoni nimsikie ananiambiaje.Akikataa nitalala kwake humohumo na kama ni kunipiga kijeshi wanipige tuu, km NI kuniua basi waniue SITATOKA HAPO KAMBINI MPAKA CO ANIANDIKE JINA NA ANIKUBALIE KUWA MMOJAWAPO WA WANAJESHI WALIOKO MAFUNZO YA KIJESHI RTS.Maana haiwezekani niumie nafsi kila ninavyoona mjeshi au kila ninavyokumbuka jeshi wakati jeshi lipo ili watu wajiunge nalo, sema tuu vikwazo Vya hapa na pale Vya binadamu wenyewe.Na ingetokea tuu ishu ikatiki ? Naomba kwa co kwenda kozi ya ukomando ili nikalinde nchi kwa moyo wote kama ni kufa, posho ndogo, kuwa maskini n.k basi vingekuja tuu ningekuwa huko nisingevijari Mimi.Alaaaah ... !Mi nilienda pale mlalakuwa bila kujuana wala nini nikamuona askari mmoja mwenye vyeo fulani nikamfuata nikamueleza juu ya nia yangu aisee huwezi amini akanipa appointment nije kuchukua form nilishangaa sana ila kwa sasa sijui itakuwaje.Walinzi wakikuuliza waambie kuwa wewe unaenda kuonana na Brigedia ........... tunga jina mkuu.
Mkuu hivi vikundi si walisema vinapigwa marufuku? Bado vipo?Jiunge UVCCM au green guard
Usifanye kazi kwa kufuata mkumbo kaka tazama fursa iliyopo uitendee haki mm niko huko na ninajua nini kinaendelea,pia kama hujapitia Jkt usiote kuwa askari wa Jwtz.Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
Kupitia JKT siku hizi siyo njia ya uhakika ya kuingia JWTZ askari, kuna watu wanapitia huko lakini bado mikataba inaisha na hawajakua wanajeshi wa JWTZ, (Wala vinginevyo pia ... polisi, magereza n.k).Basi ngoja nisahau tuu kuwa JWTZ (japo nafsi inaniuma sana) kama umevyoniambia maana hakuna namna.Usifanye kazi kwa kufuata mkumbo kaka tazama fursa iliyopo uitendee haki mm niko huko na ninajua nini kinaendelea,pia kama hujapitia Jkt usiote kuwa askari wa Jwtz.
Wewe kama unataka Jwtz pitia Jkt hamna mkato siku hizi asikudanganye kuwa unaweza ingia bila kupitia Jkt.Bila hivyo sahau kiroho safiKupitia JKT siku hizi siyo njia ya uhakika ya kuingia JWTZ askari, kuna watu wanapitia huko lakini bado mikataba inaisha na hawajakua wanajeshi wa JWTZ, (Wala vinginevyo pia ... polisi, magereza n.k).Basi ngoja nisahau tuu kuwa JWTZ (japo nafsi inaniuma sana) kama umevyoniambia maana hakuna namna.
mkuu unataka kuniambia wanaokwenda monduli wote lazima wapite jkt? hamna kitu kama hicho wengi wanaokwenda monduli wengi wao hua wanatokea uraiani na Mara nyingi hua ni wasomi wa kada tofauti,sibishi kwamba ukiwa jkt huwez kwenda monduli,,,hio inawezekana ukapitia jkt then monduli ila kama una vigezo vyao kuanzia degree na kuendelea lkn zaman ilikuwa kuanzia form six
sina maana hio unaweza kua na degree na ukapitia jkt hio haina shida ,,ila option nyingine kama anataka kwenda jwtz bila kupitia jkt ni ile ya kwenda Chuo cha maafisa wa jeshi afisa kadeti Monduli,hao hawapitii jkt na education minimum requirement ya kuingia huko lazma uanzie degree
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo hii sisi tunalia kosa ujapiga viatu kiwi...utasikia makamanda makamanda anastahili ngapi huyu kwa nizamu hii,makamanda kwa mkupuo "tisaaaaaaaaa"....unatoka master paredi umejiinamia adi pumbu zinavuja jasho,unaka na silaha AK47(4.9kg) siku9 mchana na usiku unakesha adi chooni unarobu nayo kisa umepiga kiwi hila haijakoa kwa kiatu..bado wanahiana na wewe ikifika tu paredi ya kitaifa unaenda ubao wa matangazo unakuta copro flani flani amechaguliwa kupiga kwata ya week8 kwajili ya maandalizi ya sherehe ya kitaifa..
Jeshi sio kazi mdogo wangu tafuta mambo mengine yakufanya...ule mshati usikutie moyo japo mademu bure nauli bure heshima kwa mtaa ila ni utumwa tu..
Utabana makalio adi yaote kutu,watakao faidi ni ndugu wa pembeni na jamaa na marafiki,wewe unaishiwa kuwa mrevi kwamba una iactivate akili kumbe unajiua taratibu taratibu
Nenda jkt ukajitolee kwa miaka miwili ukibahatika kupita kwenye usaili wa jw,utapelekwa kwenye rts kupiga kozi kwa muda usiopungua miezi minne then ukifanikiwa kumaliza kozi utapangiwa kitengo chako mfano;ardhi,maji,anga,jkt,mizinga,makao makuu au ukomandoo(usiombe uangukie hapa) ukiangukia huko basi utapelekwa tena 92kj kwenda kozi isiyopungua miezi 12 baada ya hapo ukifanikiwa kuwa hai basi utakuwa komandoo alieiva utakuja kulinda nyumbani kwanguNina mpango Wa kutafuta co mmojawapo wa kambi mojawapo ya RTS nitamfuata kambini kabisa na vitambulisho vyote asije dhani Mimi ni mtu mwenye nia mbaya, halafu nimuelezee yangu ya moyoni nimsikie ananiambiaje.Akikataa nitalala kwake humohumo na kama ni kunipiga kijeshi wanipige tuu, km NI kuniua basi waniue SITATOKA HAPO KAMBINI MPAKA CO ANIANDIKE JINA NA ANIKUBALIE KUWA MMOJAWAPO WA WANAJESHI WALIOKO MAFUNZO YA KIJESHI RTS.Maana haiwezekani niumie nafsi kila ninavyoona mjeshi au kila ninavyokumbuka jeshi wakati jeshi lipo ili watu wajiunge nalo, sema tuu vikwazo Vya hapa na pale Vya binadamu wenyewe.Na ingetokea tuu ishu ikatiki ? Naomba kwa co kwenda kozi ya ukomando ili nikalinde nchi kwa moyo wote kama ni kufa, posho ndogo, kuwa maskini n.k basi vingekuja tuu ningekuwa huko nisingevijari Mimi.Alaaaah ... !
Tatizo ni kwamba unaweza kwenda kule hadi mkataba ukaisha hujachukulika kwenda JWTZ.Ni shida sanaNenda jkt ukajitolee kwa miaka miwili ukibahatika kupita kwenye usaili wa jw,utapelekwa kwenye rts kupiga kozi kwa muda usiopungua miezi minne then ukifanikiwa kumaliza kozi utapangiwa kitengo chako mfano;ardhi,maji,anga,jkt,mizinga,makao makuu au ukomandoo(usiombe uangukie hapa) ukiangukia huko basi utapelekwa tena 92kj kwenda kozi isiyopungua miezi 12 baada ya hapo ukifanikiwa kuwa hai basi utakuwa komandoo alieiva utakuja kulinda nyumbani kwangu
Uwe tu na vigezo vyote,ikiwepo umri na kiwango chako cha elimu pia usiwe na tatizo lolote la kiafya au kibaiolojia na usiwe na tattoo,vinginevyo utaishia kulialia humu na jeshi kuliskia tu kwenye bomba,kila la heri mkuu!Tatizo ni kwamba unaweza kwenda kule hadi mkataba ukaisha hujachukulika kwenda JWTZ.Ni shida sana