Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
- Thread starter
-
- #81
Tatizo ni kwamba unaweza kwenda kule hadi mkataba ukaisha hujachukulika kwenda JWTZ.Ni shida sanaNenda jkt ukajitolee kwa miaka miwili ukibahatika kupita kwenye usaili wa jw,utapelekwa kwenye rts kupiga kozi kwa muda usiopungua miezi minne then ukifanikiwa kumaliza kozi utapangiwa kitengo chako mfano;ardhi,maji,anga,jkt,mizinga,makao makuu au ukomandoo(usiombe uangukie hapa) ukiangukia huko basi utapelekwa tena 92kj kwenda kozi isiyopungua miezi 12 baada ya hapo ukifanikiwa kuwa hai basi utakuwa komandoo alieiva utakuja kulinda nyumbani kwangu
Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajiraUwe tu na vigezo vyote,ikiwepo umri na kiwango chako cha elimu pia usiwe na tatizo lolote la kiafya au kibaiolojia na usiwe na tattoo,vinginevyo utaishia kulialia humu na jeshi kuliskia tu kwenye bomba,kila la heri mkuu!
Kwa hyo unataka shortcut? Si rahisi kama unavofikiri ndugu tena heri ingekuwa kipindi kile kuliko wakati huu!!Tatizo ni kwamba unaweza kwenda kule hadi mkataba ukaisha hujachukulika kwenda JWTZ.Ni shida sana
Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira
Huo uzi ukiupitia kwa umakini, ndo unatoa hali halisi ya mambo ilivyo.Na ninaamini NI kweli maana humu jf kuna watu wengi sana Wa kila aina, wenye vyeo vikubwa serikalini, raia Wa kawaida n.k kwa hiyo ni kweli.upitie huo Uzi ndo utaamini jinsi kupata nafasi hasacJWTZ kulivyo kugumu sana.
Duuuh, basi ngoja niwe mpole t.Kwa hyo unataka shortcut? Si rahisi kama unavofikiri ndugu tena heri ingekuwa kipindi kile kuliko wakati huu!!
HAPO KWENYE UKOMANDOO SASA NDO PENYEWE ! HATA NINGEFIA HUKO SAWA TUU MAANA NAFSI INAPENDA SANA HIYO KAZI YA UJESHI JWTZ.MUNGU ANGEKUWA ANAMPATIA MTU KITU ANACHOTAKA, NINGEMUOMBA NIPELEKWE HUKO.Nenda jkt ukajitolee kwa miaka miwili ukibahatika kupita kwenye usaili wa jw,utapelekwa kwenye rts kupiga kozi kwa muda usiopungua miezi minne then ukifanikiwa kumaliza kozi utapangiwa kitengo chako mfano;ardhi,maji,anga,jkt,mizinga,makao makuu au ukomandoo(usiombe uangukie hapa) ukiangukia huko basi utapelekwa tena 92kj kwenda kozi isiyopungua miezi 12 baada ya hapo ukifanikiwa kuwa hai basi utakuwa komandoo alieiva utakuja kulinda nyumbani kwangu
Mkuu nachekesha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Subiri cadet za monduli zitoke kuna dogo wangu pia anavizia huko.Duuuh, basi ngoja niwe mpole t.
Ahaah, sawa mkuu.Naomba zikitoka unistue kaka, nalihisi jeshi JWTZ nafsini na kwenye mwili mzima na nikibahatika kwenda Monduli ni hadi ukomandooni huko ! nisipokuwa mjeshi ntakuwa nimejikosea Mimi na Mungu pia ! Lol !Subiri cadet za monduli zitoke kuna dogo wangu pia anavizia huko.
Namuombea aangukie 92 aje tumfue ikishindikana aangukie hata mizinga naye ni shughuli ya kiumeNenda jkt ukajitolee kwa miaka miwili ukibahatika kupita kwenye usaili wa jw,utapelekwa kwenye rts kupiga kozi kwa muda usiopungua miezi minne then ukifanikiwa kumaliza kozi utapangiwa kitengo chako mfano;ardhi,maji,anga,jkt,mizinga,makao makuu au ukomandoo(usiombe uangukie hapa) ukiangukia huko basi utapelekwa tena 92kj kwenda kozi isiyopungua miezi 12 baada ya hapo ukifanikiwa kuwa hai basi utakuwa komandoo alieiva utakuja kulinda nyumbani kwangu
Mkuu unataka kumnunua afisa wa jeshi???Hakuna mishahara kuna posho tuKwana mshahara wa afisa wa jeshi ni shilingi ngapi? Maana huyo jamaa akifanyikiwa kuingia atakuwa afisa wa jeshi.
Maiki huyu anatakiwa apelekwe 44(four four) kuleee mbeya,hatari sana hicho ni kikosi cha vita,sio cha kijeshi tu bali ni cha vita ukiskia nchi inakwenda vitani basi chenyewe ndo mstari wa kwanza kifua mbele,muda wote wao wapo ready na vitaNamuombea aangukie 92 aje tumfue ikishindikana aangukie hata mizinga naye ni shughuli ya kiume
Kamanda, ingenitokea hilo zari LA kupata nafasi ya kuwa mjeda Wa JWTZ, Mimi ningekuwa tayari kwa lolote mkuu.Hata ingetokea kwamba siku hiyo hiyo nimevikwa UTUKUFU WA MUNGU a.k.a BAKABAKA, halafu wakaniamrisha kwenda front line kupigana vita, NINGEENDA CHAPCHAP TENA KWA ROHO MOJA NA SAFI KWA SABABU HII KAZI NAIPENDA SANA, ipo moyoni.Sijalazimishwa au kuvutiwa na chochote kingine huko zaidi ya kupipenda kwa dhati tuu kwa hiyo KUSINGEKUWA NA SHIDA YYT YA MIMI KUWEKWA 92 KJ AI HIYO 44 ! I LOVE U JWTZ ! MWAAAAH !!!!! LOLMaiki huyu anatakiwa apelekwe 44(four four) kuleee mbeya,hatari sana hicho ni kikosi cha vita,sio cha kijeshi tu bali ni cha vita ukiskia nchi inakwenda vitani basi chenyewe ndo mstari wa kwanza kifua mbele,muda wote wao wapo ready na vita
Zero brain!!Tafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Ingekuwa kabla ya 2015 Mimi huyu MTU ningemchukua aende RTS akajipime msuli sasa system zimebadilika kidogo inaleta shida na siwez kufanya loloteMaiki huyu anatakiwa apelekwe 44(four four) kuleee mbeya,hatari sana hicho ni kikosi cha vita,sio cha kijeshi tu bali ni cha vita ukiskia nchi inakwenda vitani basi chenyewe ndo mstari wa kwanza kifua mbele,muda wote wao wapo ready na vita
Hapana kaka, miaka 26 naitimiza mwezi wa 8 tarehe 21 ! Sijachelewa.Hata hivyo, mbona kuna wanajeshi wazee huko , (nadhani waliingia wakiwa vijana wadogo KAMA MIMI TUU NA WENGINE HATA WAKIWA WANANIZIDI), sasa sembuse Mimi Wa miaka 26 (mwezi Wa 8 mwaka huu) ? BASI TUU.Umri wako kwanza ushazidi,umechelewa
Hapana kaka, miaka 26 naitimiza mwezi wa 8 tarehe 21 ! Sijachelewa.Hata hivyo, mbona kuna wanajeshi wazee huko , (nadhani waliingia wakiwa vijana wadogo KAMA MIMI TUU NA WENGINE HATA WAKIWA WANANIZIDI), sasa sembuse Mimi Wa miaka 26 (mwezi Wa 8 mwaka huu) ? BASI TUU.