Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

Wewe unaonekana unazipenda nguo sio kazi
Na hiyo avatar yako, huogopi kuiweka hapa kaka ? KAMA UPO HUKO KWA HUYO JAMAA KWENYE AVATAR YAKO KWENYE MA-RED BERRETS, UKO JUU SANA HAD NAKUONEA WIVU.
 
Ni kweli ila unaweza usichukuliwe pia na kadi yako.
 
Mmmmh ! Uwe JKT ukose, uwe na kadi kwa kujipendekeza kwa wanachama viongozi, ukose, n.k sasa mtu afanyeje ili kupata uhakika Wa kuwa mwanajeshi Wa JWTZ kabla ya kuondoka dunia hii jamani mbona mambo yanakuwa magumu hivi ?
 
Mwaaah?Aisee jeshi halitakagi mambo ya kishoga Arifu,kaza kundu mjomba.
 
Mwaaah?Aisee jeshi halitakagi mambo ya kishoga Arifu,kaza kundu mjomba.
Unashindwa kunisaidia unaanza upupu ! C ukae kimya tuu Ndg ¿ ulishaona Mtu kwenda jeshini akiwa hana jicho imara ? Kama mpenzi anayependwa anabusiwa, kwa nini nisilipatie busu jeshi (JWTZ) nnalolipenda kuliko mke ? chenga sana wew.
 
hahah eti mwanajeshi anasema MWAAH mara LOL,kaza KUNDU dogo.
 
Tena hafai kweli kwanini asingewatafuta makamanda kimya kimya huko mitaani
Hayo ni mawazo yako nimekuelewa lkn humu JF kuna watu wengi na wanajeshi wamo pia, kwa hiyo Mimi kuhitaji msaada humu NI sahihi tuu ndg
 
Makamanda mbona mpo kimya ? Brigedia jenerali +++ , KANALI, C.O OLJORO RTS N.K .... JAMANI NAOMBA UNISAIDIE MTANZANIA MWENZAKO ILI NIWE MWANAJESHI JWTZ KWA SABABU NALIPENDA HILI JESHI LA NCHI YANGU JAMANI, ILI NA MIMI NIWAJIBIKE KWA KUFANYA KILE MUNGU ALICHONIWEKEA NAFSINI KWANGU, KABLA MUNGU HAJACHUKUA ROHO YAKE KUTOKA KWANGU.SIYO KILA MTU ALIYEFIKA CHUO KIKUU KWAMBA ATATAKA KUINGIA JWTZ KISA MASLAHI AU KISA KAKOSA AJIRA MTAANI AU KISA MAISHA YA KAWAIDA YAMEMSHINDA MTAANI, HAPANA ! WENGINE (NA MIMI PIA) TUNALIPENDA SANA HILI JESHI JAMANI, HATA MTU UNGEKUWA PROFESA BADO UNGEHITAJI TUU KUTUMIKIA JESHI MAANA NAFSI INAKUAMBIA HIVYO.NISAIDIE NDG !
 
Hayo ni mawazo yako nimekuelewa lkn humu JF kuna watu wengi na wanajeshi wamo pia, kwa hiyo Mimi kuhitaji msaada humu NI sahihi tuu ndg
Sawa kama ni sahihi utawaona ndugu ila face to face ndiyo yenye nguvu sana
 
Hiyo njia unayoitaka wewe haipo suala zima ni kupitia JKT kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…