Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

Katika fani yangu ya kilimo hakuna mtu aninipa amri.
Nieleze unakuwaje huru dhidi ya mazao yanayohitajika katika masoko ya nje? Haina fulani za mbegu na dawa za kutumia, je unazuiaje makampuni kupanga bei ya mazao yako? Una uhuru kiasi gani dhini ya matakwa ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo ukusababisha wewe ila watu katika nchi nyingine
 
Tafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Hajasema anatafuta UTAJIRI. Anatafuta kuiridhisha nafsi yake kwa kazi ya ndoto zake, hivi ni kwanini minds za vijana wa Kiafrika zipo corrupted namna hii?
 
Askari hata ukiumwa lazima uombe ruhusa kwenda hospitali,unapopewa amri na bossi wako hutakiwi tena kutumia akimi yako. Unatekeleza amri hata kama no ya kinga. Kwa ufupi wewe ni mtumwa.
 
Aisee...! inaonekana tuko kwenye wavelengh tofauti za kufikiri na kuona mambo. Anyway jumapili njema.
 
Hajasema anatafuta UTAJIRI. Anatafuta kuiridhisha nafsi yake kwa kazi ya ndoto zake, hivi ni kwanini minds za vijana wa Kiafrika zipo corrupted namna hii?
Yan kaka, watu wanawaza njia za kutajirika tuu na kusahau kwamba kuna wenzao kama JWTZ, POLISI, N.K wamejitolea maisha yao kuwalinda ili wafanye mambo yao ya kiuchumi watajirike na kuishi vyema kwa usalama.Huwezi kwenda jeshini kutafuta utajiri, JESHI LINAKUSHINDA ! UTAJIRI UNAPATIKANA URAIANI AMBAPO MTU YUPO HURU KUFANYA MASUALA MENGI ila, Mimi ninapenda tuu kule kwa sababu roho yangu inapenda kwa dhati kuwa huko, POTELEA MBALI KUFA MAPEMA, KUWA MASKINI, KUKOSA UHURU WA KUFANYA MISHE ZANGU NYINGINE ZA PESA N.K ningepata nafasi Ningeenda Mimi tena kwa roho nyeupe lkn, ndo ivyo bhn unachokipenda hukipati maana vikwazo vinakuwa vingi kweli kweli.
 
Mkuu, hiyo komenti yako uliifanyia kazi?
 
AIPOLO, NAPENDA SANA HIYO KAZI, ACHA UMASKINI TUU HATA KUFA MAPEMA NI MOJA YA HASARA LAKINI SIANGALII HAYO YA UTAJIRI AU VINGINEVYO, NAPENDA TUU TENA KWA DHATI NDG.HATA NIKIWA FUKARA WA MWISHO DUNIA HII AU NIKIFA MAPEMA () SAWA TUU.
uzalendo huu
 
Mkuu, mimi naamini mtu waweza kwenda JWTZ

1. Una refa wa maana, watoto wa mjini wanaita mbuyu. Wengi wanadanganyana kuwa hata watoto wa wakubwa JWTZ/TISS/CCM wanaenda kuokota mayai ya kuku JKT, hiko kitu HAKUNA.
2. Pesa, ndani ya pesa hakuna kinachoshindikana chini ya jua. Nguvu ya pesa haifanyi kazi Mbinguni tu ila hapa duniani pesa haina mpinzani.
3. Una profession ambayo ni hot cake mfano Urubani, Udaktar n.k hawa nilishuhudia kabisa hawajaenda kulima JKT. Baadhi walienda JKT kuchukua namba tu ila hata miezi 2 hawamalizi.

Mbali na hapo Mkuu mimi sina ninachokijua kama waweza penya hapo kwenda JWTZ pasipo JKT ila Mkuu mimi ninaamini maisha sio lazima uwe JWTZ tu.

Niliyoyasema hapo juu nimeyasema kutokana na mimi mwenyewe kupambana saaana kuingia katika chombo ila kwenda JKT niliambiwa na Captain aliyekuwa anasimamia kuwa nisiende sababu sasa hivi kurudi nyumbani ni kitu cha kawaida sana sana kwa wasomi.

Ili kuthibitisha niliyosema, January mwaka huu 2018 walirudi vijana kutoka JKT si chini ya 4,000 na kuna thread ilianzishwa humu juu ya hili. Tazama walioenda kama Diploma/Degree holders wanafika hata 70 kati ya 3,000 walioenda kozi JWTZ.
 
Huyu anataka ujeda kwel mtu na akili zake timamu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…