Na ni katili kweli kweli. Kuagiza watu wafutiliwe mbali wala sio hatari kwake.No, do not underestimate Magu. He is cruel and harsh. Sio kama JK. Meko anatumia loophole s za Katiba ipasavyo, Chato regime
Chadema kilimbeba hana uwezo binafsi wa kupambana.Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Nazan tungepata katiba mpya na tume huru ya uchaguz ingekua ni bora sana nimeshangaa kuona nchi kama malawi matokeo ya urais yanapingwa mahakaman cjui hku kwetu tunasubr muujiza upi??Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Naona 💉💉💉💉 alizopiga zimeacha majipu.Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Atakuwa anaingizwa na Mbatia bungeni maana mbatia ndiye atakuwa kiongozi wa KUB.Ambaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Huyu pamoja na wasaliti wengine wataipata uchaguzi huu.Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Atakuwa anaingizwa na Mbatia bungeni maana mbatia ndiye atakuwa kiongozi wa KUB.
Tayari mambo yameanzaHuyu pamoja na wasaliti wengine wataipata uchaguzi huu.
Aanze kuvaa magauni anaweza kufikiriwa viti maalum.Na wengi tu watatoswa maana watakuwa hawana thamani tena.
Octoba patachimbika mkuu, Magu mwenyewe hatihati atapata wapi ujasiri wa wabunge?Erythrocyte,
Magu ndio tume ya uchaguzi, kama ilivyokuwa Kinondoni na Ukonga, no free election
Amenusurika kipigo mwanzaAanze kuvaa magauni anaweza kufikiriwa viti maalum.
Yani unamaanisha viti vya ladies free sioHuyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
kabisa !Yani unamaanisha viti vya ladies free sio
Nadhani pale kwenye purukushani ya kipigo ndio alipopata Haya maambukizi yaliyomlaza BM HospitalAmenusurika kipigo mwanza
anaumwa nini ?Nadhani pale kwenye purukushani ya kipigo ndio alipopata Haya maambukizi yaliyomlaza BM Hospital
Acha uzandiki weka hapa hiyo hati uthibitishe kuwa alinunuliwa. La sivyo wewe ni mpotoshaji. Mmetokea kumchukia Waitara sababu ameisambatatisha Chadema kwa kiibua ufisadi wa Mbowe baada ya kukwapua bil 8+.Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .