Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Watu wamepandisha uzi wako kuku kumbusha uliyo sema kwa Waitara bali imekuwa kinyume chake,
Yaani dua zenu ni sawa na za Mwamakula, Katimba, Bagonza, Ponda, hazina mvuto hata kwa mungu, na ndio maana mungu alikuwa busy kusikia dua za watu kama hao.
 
Chagua na Mpango sijui imekuwaje?

Au walimsingizia.?
 
Uteuzi wa Mwita Waitara jimboni kwake waja
 
Vipi mkuu huko tarime vijijini? Wazima?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utukutu hauna umri... Tarime hoyeΓ¨eee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HESHIMU MDOMO WAKOO PUNGUZA MAKALI YA MDOMOO UNAAIBIKA
 
AaliniRUSHIA MANENOO SIKU NIMEANDIKA LEMA NA SUGU WAKISHINDA NAAMA NCHII

SIJUI ANAJISIKIAJE MPWA WANGUU SASAHIIIZI SIO KWA DOSI HII

Mipango ya kile kituo cha kuzihesabu kura feki nje ya nchi ili fail😁😁😁
Walijipanga ila hawakutoboa
 
Vipi dada!! Upooo!!
 
Ambaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .

Hifadhi andiko hili
Na limehifadhiwa kabisa. RIP kwa yule jamaa aliyesema ogopa Mungu na pia technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…