Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa.
Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome ya miti unayakausha then unayatwanga kwenye kinu kidogo mpaka unakuwa unga laini.
Unapark unaanza kunadi dawa ya nguvu za kiume huko Facebook, Instagram, Whatsapp n.k. Unapiga pesa ikitimia mtaji unaachana na hiyo business ambayo hata mwenyewe hujui huo unga unatibu nini.
Kwakuwa wengi hawana tatizo ambalo wanaaminishwa wanalo basi wakitumia dawa yako watapata unafuu. Kwa kuogopa huenda wanaweza kupata madhara wewe wachanganyie hata miti ya mafenesi na matopetope.