Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

Idea nzuri sana unapatikana wapi mkuu?
 
WAKATI WANAWAKE WANATAPELIWA NA WANAOJIITA MANABII NA MITUME
WANAUME WANATAPELIWA NA WAJASILIAMALI WAUZA NGUVU ZA KIUME.

UKWELI NI KWAMBA UJINGA NI CHANZO CHA MTAJI!
 
Eti hivyo vichupa si ndo vile vya mahospital?
 
Mkuu wamasai 80% dawa zao ni OG. Wale people hawanaga longolongo.
Wewe utakuwa mmasai bila shaka. Kila siku wanawauzia watu dawa feki na wanalalamikiwa mno. Mfano masai anakwambia dawa hii inatibu mtoto asikojoe kitandani lakini hakuna ufanisi.

Kumbuka hapa namaanisha mtoto wa miaka 10 hadi 17 mwenye tabia ya kukojoa kitandani huku ikiwa sio kawaida ya mtoto wa rika hilo kukojoa kitandani.
 


Utaziuza sh ngapi?

Hao wateja wako wanaotafuta nguvu za kiume hata nguvu ya pesa za kununua hizo magome sijui kama wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…