Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa CDM wamekamatwa haongei chochote
4. Akiambiwa kuchangia baraza kuu haongei chochote
5. Hatumuoni mahakamani
6. Haongei lolote kuhusu haki
7. Hatoki wazi wazi kuikemea CCM
8. Etc etc etc
Huyo ni "mhaini" wa chadema mkataeni kwa nguvu zote.
Adapted fron X