Mnyika na yeye Muhuni tu, Tatizo la Chadema wanaendesha chama kienyeji yani Chama hakina idara ya intelligence ya uhakika ya kumonita Vipngozi na kufatlia mienendo yao, Mfano Katambi na Waitara inaonekana ni mapandikizi ya CCM, Viongozi wanatakiwa kujua na kuwadhibiti CCM wasipenyeze watu wao ndani ya Chama, Yani inashangaza Chama kinapokea Makada wa CCM na kuwapa Upngozi. Chadema inatakiwa iwaandae Vijana na kuwapa nafasi ya Uongozi ndani ya Chama na iwape nafasi ya Kugombea kwenye Uchaguzi, Sasa wao wanakopa Makapi kutoka CCM na kuwapitisha kugombea Ubunge na Udiwani. Chama kinatakiwa kizalishe Vijana na kiwasimishe kila jimbo na siyo kuchukua makapi ya CCM ili Chama kipate wabunge, ule mfumo wa Mbowe ulitakiwa ubomolewe kabisa mfuko wa kuwapokea Waliondoka CCM au waliowahi kugombea Uongo wowote nje ya Chadema.Chadema kuna wahuni wengi sana
Naunga mkono hoja 💯Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa CDM wamekamatwa haongei chochote
4. Akiambiwa kuchangia baraza kuu haongei chochote
5. Hatumuoni mahakamani
6. Haongei lolote kuhusu haki
7. Hatoki wazi wazi kuikemea CCM
8. Etc etc etc
Huyo ni "mhaini" wa chadema mkataeni kwa nguvu zote.
Adapted fron X
Ni Rahisi Sana kuwaju, huko umeenda mbaliUkiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa CDM wamekamatwa haongei chochote
4. Akiambiwa kuchangia baraza kuu haongei chochote
5. Hatumuoni mahakamani
6. Haongei lolote kuhusu haki
7. Hatoki wazi wazi kuikemea CCM
8. Etc etc etc
Huyo ni "mhaini" wa chadema mkataeni kwa nguvu zote.
Adapted fron X
wanamchafua kivipi gentleman, wakati heche kajichafua mwenye kwa tamaa zake binafsi na akaamua kufisidi pesa za chadema zilizochangwa kwa matumizi ya chama lakini yeye akaamua kuzitumia kibinafsi katika harakati zake za kujikomboa kiuchumi baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti?🐒Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa CDM wamekamatwa haongei chochote
4. Akiambiwa kuchangia baraza kuu haongei chochote
5. Hatumuoni mahakamani
6. Haongei lolote kuhusu haki
7. Hatoki wazi wazi kuikemea CCM
8. Etc etc etc
Huyo ni "mhaini" wa chadema mkataeni kwa nguvu zote.
Adapted fron X
Una point ya kufanyiwa kaIMnyika na yeye Muhuni tu, Tatizo la Chadema wanaendesha chama kienyeji yani Chama hakina idara ya intelligence ya uhakika ya kumonita Vipngozi na kufatlia mienendo yao, Mfano Katambi na Waitara inaonekana ni mapandikizi ya CCM, Viongozi wanatakiwa kujua na kuwadhibiti CCM wasipenyeze watu wao ndani ya Chama, Yani inashangaza Chama kinapokea Makada wa CCM na kuwapa Upngozi. Chadema inatakiwa iwaandae Vijana na kuwapa nafasi ya Uongozi ndani ya Chama na iwape nafasi ya Kugombea kwenye Uchaguzi, Sasa wao wanakopa Makapi kutoka CCM na kuwapitisha kugombea Ubunge na Udiwani. Chama kinatakiwa kizalishe Vijana na kiwasimishe kila jimbo na siyo kuchukua makapi ya CCM ili Chama kipate wabunge, ule mfumo wa Mbowe ulitakiwa ubomolewe kabisa mfuko wa kuwapokea Waliondoka CCM au waliowahi kugombea Uongo wowote nje ya Chadema.
Kwahiyo tu conclude kuwa according to Chadema, Heche is a Saint!Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama