Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

Mimi nashauri kila penye zebra paweke matuta pande zote mbili
Kuna jamaa uwa wanaovertake mpk kwenye pedestrian crossing. Niliona ajali ya katoto ka shule aisee moyo ulimwagika
 
The best solution ni barabara zote za kwenda mikoani ziwe double road. Magari yanayo kwenda yasiwe yana pishana na yanayo rudi.

Yanayo enda yawe na njia yake

Yanayo rudi yawe na njia yake

Hivyo ndio ulaya na marekani zilivyo na ajali ni chache sana
 
Great thinker
 
Back
Top Bottom