Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
hiyo ni ndege mzeeAir Tanzania.
we jamaa una masihara, bas gharama ndege ndo rahisiAir Tanzania.
Acha woga Mkuu ni rahisi.we jamaa una masihara, bas gharama ndege ndo rahisi
Au siyo! Naona umeamua kunikejeliAcha woga Mkuu ni rahisi.
Mkuu watu wanasafirisha dagaa na samaki kupitia Shirika hili kwamba gharama ni kubwa na wanapata hasara? Sitaki kuamini.Au siyo! Naona umeamua kunikejeli
Usafiri wa treni siyo😂😂sasa si unaweza subir week zimaTreni ulikuwa usafiri wa mizigo wa uhakika, usalama na bei rafiki japo utausubiria kidogo
Unaweza kuwacheki pia Hood wale wenye mabasi ya Hood kipindi cha nyuma walikuwa wanasafirisha kwa uhakika sana
kampuni gan ? watu binafsi wahuniTumia malori au fuso
Wanasafirisha satoMkuu watu wanasafirisha dagaa na samaki kupitia Shirika hili kwamba gharama ni kubwa na wanapata hasara? Sitaki kuamini.
huu ushauri umeshibaUngesema ni biashara gani mkuu
Kuna biashara ukisafirisha piece moja faida yote inaishia kwenye nauli.
Lakini pia unaweza ukafanya yafuatayo
1. Kuchukua mzigo mkubwa kupunguza gharama za nauli, usumbufu na kuongeza faida
2. Kutumia company moja tu ya uhakika then ukishazoeana nao ni rahisi kuwa na discount
3. Kujenga mazoea na madereva wa mabus ingawa ni risk kiasi chake lakini madereva wanasaidia kama unasafirisha parcel ndogo ndogo.
Kumbe unafahamu Mkuu.Wanasafirisha sato
sasa yy akilipa elf 50 ndoo ya sato na kuna sato 30 ana hasara gan
Haiingii hata mara 0Kumbe unafahamu Mkuu.
Sasa jaribu nawe kucheki biashara yako kama inaweza kumatch na ATCL.
Hapo sawa.Haiingii hata mara 0