Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwene nauli.

Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja mwanza kwa bei rahisi ila uhakika

achana na magari vishoka,,,, wale wakuunganisha unganisha wezi sana
Watafute kampuni inaitwa lukman
 
Kuna makampuni yamesajiriwa kusafirisha mizigo hivyo unaweza ukayacheck ambapo yenyewe sasa ndo yanaingia makubaliano na buses kama mzigo wa kawaida ila kama mzigo ni mkubwa huwa wanatumia malori yaani wanasafirisha mizigo Yao kwa pamoja. Usiende kwenye buses moja kwa moja maana mengine huwa wanalazimisha kusafirisha alafu unashangaa unashangaa unakwenda Nata unaambiwa wameshusha Nyegezi wakati hayo makampuni wanashushia ofisini kwao na bado wanaweza wakakutafutia bajaji wakuletee ulipo ila mnakubaliana bei

Check kampuni moja inaitwa "First Born" ipo Nata pale jirani na Petrol Station
 
nitajie izo campuni
 
Ukiwa unatoka Jangwani, ukifika makao makuu ya Yanga kunja kulia.

Nyoosha na hiyo barabara kama mita 500 kisha ulizia ilipo ofisi ya FERGUSON(transporter)!!

Hapo ni sehemu sahihi kwa hitaji lako..
 
Ipo Usiri pia wako vizuri. Wapo mlango mmoja karibu na vijana social.

Mimi natafuta usafiri wa kusafirisha mizigo dr congo. Mwenye connection tafadhali.
 
TUMIA CARGO (MALORI) WANA BEI RAFIKI SANA KWA SISI WAFANYABISHARA
MIMI MWANZO NILKUA NATUMIA BASI ILA SASA NIMEHAMIA KWENYE MALORI WAKO POA SANA
Champ, mimi nimejaribu kufuatilia maroli ya kusafirisha mizigo kutoka Dar to Mwanza sijafanikiwa ombi langu ni unipe msaada wa uhitaji huo kama unafahamu walipo nambari zao na gharama pia.
 
Back
Top Bottom