Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Serikali ya Msumbiji huwa wanapenda kuimba nyimbo tu, zile nyimbo za uhuru.
Ni serikali inayochukua kodi ya wananchi na kula na kulala.

Nawajua sana na sitaki kusema mengi.
Eti inategemea isaidiwe ulinzi na kanchi kadogo ka Rwanda

Nyunyusa kazi yake ni kuimba tu nyimbo za ukombozi wa Afrika.
Namjua sana tu.
 
Wwe ni mjinga rejea kifo cha Rogo , katika mazingira gani ulikuwa uko porini kwenu hata kuoga hujui huku Mbeya , fuatilia mtitiriko , tatizo minyoo ya Nguruwe.

Rogo kashambuliwa kama Tundu lissu alikuwe na familia yake , nimeweka video bado huelewi .. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€

Serikali inashambulia watu kwani palikuwa na majibizano ya risasi ? Ndio tatizo la wapakwa mafuta kazi kula nguruwe kichwa cheupe .
 
Unatokwa povu kwa kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Jionee:


View: https://youtu.be/r5IoWbJ5DS4?si=JDKpWT9B9puA2pPV
 
Kwa hiyo unataka LBGT ndio watawale kama mafundisho yako ya kule vatican?
 

Kwa Tanzania intelligence ipo juu sana ndiyo maana hao wahuni wa kitaya walimalizwa wote ,kila siku walikuwa wanapasuliwa vichwa hadi dar ,kuna mmoja alipasuliwa kichwa maeneo ya kurasini.
 
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ