Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado


story zipi hizo za Azory?
 
misikiti ilikua inaficha magaidi halafu unasema chuki za kidini
misikitiki ilikua inaficha magaidi
 
makundi ya kigaidi mengi yameanza kabla hata ya shambulio la marekani na matekani amekua suoer poeer baada ya kuanguka kwa soviet 1991 wakati huo makundi ya kigaidi mengi yalikua tayar yameanzishwa
 
makundi ya kigaidi mengi yameanza kabla hata ya shambulio la marekani na matekani amekua suoer poeer baada ya kuanguka kwa soviet 1991 wakati huo makundi ya kigaidi mengi yalikua tayar yameanzishwa
Nitajie hilo kundi wakati ISIS imeua waislamu 10,000 kule syria
 
Mkuu hivi nikuulize kwa mujibu wa uislamu ni haki kuwalazimisha wasio waislamu kutokula hadharani wakati wa ramadhani kama wanavyofanya zanzibar?
 
Binti unaropoka ovyo kama upo period vile
 
Magaidi ndio wanaojinasibisha na uislamu kwasababu hata hao magaidi walipovamia kitaya kwa video waliyokarekodi walidai wataenda mpaka dodoma kumpiga kafiri magufuli na maneno kama takbir yalikuwa mengi mno
 
Mkuu hivi nikuulize kwa mujibu wa uislamu ni haki kuwalazimisha wasio waislamu kutokula hadharani wakati wa ramadhani kama wanavyofanya zanzibar?
Uislamu hauruhusu kulazimisha mtu kweny dini katika jambo lolote , ila uislamu unasisitiza kuwaheshimu watawala ...Nafikiria utakuwa umenielewa kama sheria fulani imewekwa basi ifuatwe
 
Uislamu hauruhusu kulazimisha mtu kweny dini katika jambo lolote , ila uislamu unasisitiza kuwaheshimu watawala ...Nafikiria utakuwa umenielewa kama sheria fulani imewekwa basi ifuatwe
Kwahiyo kati ya watawala na Quran kipi chakufuatwa?
 
Kwahiyo kati ya watawala na Quran kipi chakufuatwa?
Umenielewa , kama utawala huo unafuata Qur an basi fuateni ndio katiba sio nchi zote zinatumia Qur an na demokrasia ...Ukienda nchi ya kiislamu fuata sheria zao kama wanatumia Qur an .


Haya ni maneno ya mtume katika kuheshimu watawala .
  • "Msikilizini na mtii watawala wenu, hata kama wao ni watumwa Wethiopia." (Sahih Muslim)
  • "Yeyote atakayemtii mtawala kwa dhati ya moyo wake na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, basi atakuwa amepata malipo." (Sahih Bukhari)
  • "Hakika, Mwenyezi Mungu amemlaani yeyote atakayempinga mtawala wake." (Sunan Abu Dawud)

Na kama utawala ni wa Qur an hairuhusiwi kuwadhuru wasiokuwa waislamu kama hawajawashambulia , yaani uwafanyie ukatili kwa vile sio waislamu ni haramun unless watakuwa wamefanya makosa.

Mtume alilulizwa je kweny utawala wa sharia za kiislamu , watu wasiokuwa waislamu wataishije ndio akasema ''Hairuhusiwi kumdhuru asiyekuwa muislamu kutoka na misingi yake.

Mtume alishasema kama katika utawala wa kiislamu hairuhusiwi kumdhuru asiye maana utakuwa ni adui wa mtume na Mwenyezi Mungu .

Mtume Muhammad (s.a.w.) alisema: "Yeyote atakayemuua mtu asiye na hatia, kana kwamba amemuua watu wote duniani." (Sahih Bukhari)

Qur'ani pia inasema: "Msiwaua wale ambao hawapigani nanyi kwa ajili ya dini na hawakuwafukuza kutoka kwenye nyumba zenu. Hakika, kuwaua ni haramu." (Quran 2:191).
 
Ule ni ugaidi 💯.
Magufulia akaamua kuushughulikia mapema kabla haujaleta madhara zaidi
 
Wewe ndio mpumbavu kabisa. Umeshindwa kujibu hoja unamtukana mtoa hoja
 

Daawa Salafiyya inahitajika kuokoa idiology potofu za hao wanaojiita Ansar ..​

Ni ideology za kijinga kwa ajili ya watu maskini zinazosimamiwa na matajiri wakubwa waabudu shetani.
Ni vigumu sana kuutoa huu ujinga ukushaingia kwenye vichwa vya watu,ndio maana hata humu jf wapo hawa watu wanaojaribu kuchochea chuki za kidini lakini ukweli wanalipwa kwa kazi hiyo
 
Hustahili kuwa hai iwapo una mawazo kama haya.
Ukishazichukua so what?!!
 
Nikuambie tu bro kama huelewi haya mambo ni mazito sana.Hiki kikundi usikiunganishe na Uislam kabisa madhumuni yao ni mengine kabisa.Swali la kujiuliza wanapata wapo silaha nzito.
Usije ukashangaa vikundi vya kigaidi vingine vinafadhiliwa na nchi za magharibi hili unaweza usiamini kabisa watu wako kwenye biashara za silaha bila watu kupigana na kuuana hasa sisi ngozi nyeusi faida watapata wapi?.

Jiulize swali hili kwanini COVID-19 imetikisa dunia lakini chanjo imepatikana kwa muda mfupi mno.Jibu ni kwamba walivyoleta huu ugonjwa walitegemea waafrica tutakufa sana ikawa kinyume wao ndio wakawa wanapukutika ikabidi wachangamke.Jiulize kwanini chanzo ya malaria haigunduliwa haraka? jibu ni kwamba sababu malaria inagusa nchi za Africa hivyo hawatapata faida na pia vyandarua vyao think twice bro mtu mweupe ni shetani mkubwa sana.

Usije shangaa kikundi kimojawapo cha ugaidi cha kiislam ipo nchi moja ya weupe inafadhili kwa ajili tu ya kuupaka uislam matope maana mtu mweupe haupendi uislam kibaya zaidi na sisi ngozi nyeusi na waarabu tuna akili fupi tunaingizwa mkenge kukubali kuuana wenyewe kwa kisingizio cha kwenda peponi.Hapo Cabo Del gado kumegunduliwa akiba kubwa ya gas na kampuni ya Anadarko wameshindwa kuendeleza kampuni ya Total Energies ya Ufaransa wamechukua mkataba usije shangaa magaidi wanafadhiliwa na nchi ya Ufaransa.Gaida akiuwawa na majeshi ya Msumbiji wakimpekua wanakuta mifukoni wana hela nyingi mno za kigeni faranga hata dola unategemea nini?.Hawa magaidi wanatumia hadi drones jiulize kakikundi kadogo ka kihuni kanapata wapi kifua cha kusumbua nchi moja huko bado ikisaidiwa na wengine.Vita ya Uchumi popote duniani ni ngumu sana alisemaga Magufuli RIP

Mzungu anaingiwa hofu sana akiona waafrica tunaongezeka kwa idadi na kumbuka sisi ndio tuliojenga nchi za ulaya.Jiulize nchi ya Ufaransa haina mgodi hata mmoja wa Uranium lakini anachukua Chad huku chad wananchi wakiwa gizani huku mfaransa akiwa na umeme wa uhakika wa nguvu za Nyuklia.

Jiulize Wingereza na ubelgiji hawana mgodi hata mmoja wa dhahabu lakini kwenye safe zao wana akiba ya dhababu kuliko Africa.
Tusikubali kuchonganishwa.
 
Ugaidi ni kitendo cha mtu au kikundi cha watu kutumia nguvu,vitisho,kudhuru,kulazomisha hata kuua ili kutimiziwa matakwao yao ya kisiasa au kiuchumi na hata kidini
Kama hiyo ndiyo maana yake, basi hakuna mafundisho hayo au hata moja la namna hiyo Katika Uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…