RUFIJI VALLEY
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 112
- 225
Video ilishafutwa kwa sababu ni ya kidhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu hata mm pia niliifuta. Ila ndugu zako wana roho mbaya Sana .Weka clip hapa tuone kama ni yeye, na waliomuuwa kama ni hamas!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video ilishafutwa kwa sababu ni ya kidhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu hata mm pia niliifuta. Ila ndugu zako wana roho mbaya Sana .Weka clip hapa tuone kama ni yeye, na waliomuuwa kama ni hamas!
Mzee ulikua mahabusu au? Pitia huu uzi utaziona hizo video.
Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...www.jamiiforums.com
Video ilishafutwa kwa sababu ni ya kidhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu hata mm pia niliifuta. Ila ndugu zako wana roho mbaya Sana .
Ww ni mpumbavu tena kiongozi wa wapumbavu..Mpunbavu sio tusi ni cheo cha kubisha.Hivi ww isis ama al shabab ni majina ya kikristo ama hayo makundi yanafata dini ipi ww puuzi maandazi unakuja kubisha wakati hapo mkiru tu walifanya ujinga sana.Ungekua karibu ningekuchapa makofiVita kuu ya kuuchafua Uislamu duniani ni DISINFORMATION.
Mwandishi wa makala hii analipa huu upupu alioumwaga. Hajaanza leo. Na analipwa na watendaji wa wasio waaminifu, wavuta bangi.
Ndio maana nimeuuliza mwanzoni tu.
Huu ujumbe wa makala unaolenga kuufungamanisha uislam na ugaidi.
Je, HIVI MAGAIDI WENYEWE NDIO WANAOJIFUNGAMANISHA NA UISLAM au WAANDISHI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UGAIDI NA UISLAM?
Tuseme nchi hii kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.
Tatizo la nchi la nchi yetu ni ubaguzi wa kidini tu hakuna cha ugaidi wa Waislam na Uislam.
......ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Nitaweka threat inayojitegemea waraka wa waislam kwa serikali ukiitahadharisha serikali iache kuwalea waandishi wote wa kikundi hichi kinachofadhiliwa kuuchafua uislam.
Kama serikali haina mkono wake tunahitaji wamtafute azori ili atueleze ukweli wa mambo
Oyaaa sio kila comment u reply kaza mtoto wa kiume.Watu wanakufa wewe unataka kudanlodi? Oya?!
Video ilishafutwa kwa sababu ni ya kidhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu hata mm pia niliifuta. Ila ndugu zako wana roho mbaya Sana .
Nangoja uzi basi. Mbona hivi?Oyaaa sio kila comment u reply kaza mtoto wa kiume.
Mie nimeishi huko na ndugu yangu alishavamiwa wenzie wakauliwa ila yeye walimsamehe walipomuona ana msahafu ila mateso walimpa kama kumpiga bapa za panga kumvua nguo kumgaragaza chini wenzie walichinjwa na rafiki mzungu kaacha mashamba yake Montepues sababu ya hao na marafiki wa Mozambican wanalalamika hawana raha nikasoma Uzi kujua chanzo haswa mpaka kufikia hapo aliposema ana muondelezo ndipo nikamwambia natamani ingekuwa movie ni download nisi subiri muendelezo mpaka mwisho.
Nawaogopa wasije kunipiga risasi mwenzio mpaka nikiona mtu dini dini namuogopa naona ni yeyeeeNangoja uzi basi. Mbona hivi?
Nitumie details, then ntajua chankufanya.Nawaogopa wasije kunipiga risasi mwenzio mpaka nikiona mtu dini dini namuogopa naona ni yeyeee
Poa ngoja nitulie kesho na kazi ya kupika biryani za watu za order na Pulao jmosi kidogo itakuwa poaNitumie details, then ntajua chankufanya.
Upo page no ngapi tafahali?tayari kuna uzi wa pili na wa tatu mzee.
Nakazia hapa ni shida sanaWaAfrica tumepigwa upofu sana aisee, Moja ya silaha muhimu mpaka sasa ambazo watesi wetu wamezitumia vizuri ni hizi dini mbili Christian na Islam. Hizi dini inawezekana sio tatizo lakini tatizo nisisi tuliozipokea na wahusika waliozileta na wahuni waliojipenyeza Kwa maslahi binafsi.
Nakusoma mkuu kuna mdau hapo juu kasema ukitaka kuchukua rasilimali za mtu bila kodi au return yeyote mwanzishie fujo (vita). Tuna la kujiuliza kwanini ni maeneo tu yenye raslimali muhimu za kitaifa? Kiuchumi, yanakuja makundi kama haya? Muda mwingine yanaletwa mapicha yenye taswira ya dini lakini akili ya kawaida inakataa.Thanks for this.
Kinachoendelea Msumbiji ni part and parcel ya ile project inaitwa FRENCH AFRICA.
Congo Brazzaville wamekuwa kwenye hii project miaka mingi sana kupitia Pascal Lissuba na Dennis Sassungwesso, Gabon wamekuwa kwenye hii project miaka mingi kupitia Marehemu Omar Bongo na Mwanaye.
Msumbiji wameingia rasmi kwenye hii project na hii laana ilianzia pale Total alipoinunua Anadarko, Gas itachimbwa pale na amani Msumbiji na kusini mwa Tanzania itakuwa ni tatizo kwa miaka mingi.
Magaidi wako kwenye payroll ya mfaransa na lengo ni kudestabilize eneo na kuingia contracts za ulinzi ambayo hela yake itatoka kwenye mikataba ya gas na matokeo yake Msumbiji watakosa Kila kitu kwa sababu yakusaidiwa kwenye ulinzi.
Kidogo kidogo, hodi hodi Tanzania, umakini usipoweka na watu wasipoacha ujinga wakuendekeza siasa ile kusini inaweza ikawa haitawaliki.
Upumbavu, ujinga na Tamaa za viongozi wa Africa leo hii umeifikisha hapa Africa.
Africa Moja kupitia AU yenye nguvu ndio ingeweza kusimamisha haya.
Note: Eneo like la Msumbiji na eneo la kusini la Tanzania kuna reserve kubwa sana ya gas.
Tusisahau moja ya chanzo cha ukoloni ni industrial revolution huko ULAYA na AMERICA.
I am still here.Poa ngoja nitulie kesho na kazi ya kupika biryani za watu za order na Pulao jmosi kidogo itakuwa poa
Umeshaziona?Upo page no ngapi tafahali?
Bado bossUmeshaziona?