Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Hao kwenye bold una uhakika walikuja kupambana na magadidi au walikuja kuwapa mbinu na silaha!
 
Hao kwenye bold una uhakika walikuja kupambana na magadidi au walikuja kuwapa mbinu na silaha!
Hao DAG wa south Africa na wao ni Private Military Company (PMC).
Mwaka 2020 June 27 hadi 29 yalitokea mapigano makali kati ya Jeshi la Msumbiji wakisaidiwa na hao DAG, magaidi waliteka na kuua katika mji wa Mocimboa da Praia uliopo jimbo la Cabo Delgado.

Wagner walipokuja na kusema jeshi la Msumbiji nidhamu hakuna na hawajajipanga walikuwa hawajakosea.

Magaidi waliwazidi nguvu Jeshi la Msumbiji, June 27 magaidi walitembeza kichapo heavy ambapo askari wa Msumbiji walianza kutoroka wengine wakijichanganya na raia, hali imekuwa ngumu ilifikia kipindi askari jeshi wanavua gwanda na kujichanganya na raia, Magaidi walikosa upinzani.
Baadhi ya askari walikimbilia majengo ya bank lakini walimalizwa na kundi hilo.

Ndipo hao DAG wakaingia mzigoni wakiwa na helicopters 3 angani na kuanza msako, mashambulizi yalikuwa yanatokea angani, kazi ilikuwa ni kutofautisha raia na magaidi.

Kuna kipindi magaidi walijichanganya na raia kitu kilichopelelea helicopters za DAG kushambulia kundi na kupelekea wananchi wengi kufa.

Baada ya moto kuwa mkali ilibidi hao jihadists wakimbilie hospital kudhani moto kutoka angani ungewaacha, lakini DAG walipeleka moto huko huko hospital kupelekea wagonjwa na wananchi kufariki, helicopter 3 zinazunguka mji, jamaa walimwaga moto mwingi sana huku jeshi Msumbiji wakifanya operation ndogo ardhini.

Inasemekana DAG walipeleka moto hadi Al Shabaab kwa jina lingine wanojulikana wakaamua muingia maporini , lakini moto huakuwaacha nyuma wakafuatwa huko jamaa wakapeleka moto, huko msituni kulikuwa na raia wamekimbia na Al Shabaab wapo humo na mateka, kuna imaam mmoja aliyekuwa mateka chini ya Al Shabaab alifariki msituni.

Mji ulikuwa hautamaniki ni kama Gaza, baadhi ya wakazi walikimbia kuelekea visiwa vya karibu kwa kutumia boat huku wengine wakikimbilia vijiji vya karibu kuponya uhai.

Wanakijiji walipokuja kurudi Macimboa ilikuwa ni maiti zimetapakaa mji mzima.

Kwa moto DAG waliupeleka, ilipelekea Amnesty International kuingilia kati kwamba DAG wamefanya uhalifu wa kivita kwa kuua raia wasiokuwa na hatia huku DAG wakisema si si kweli wao walikuwa wakilenga magaidi walipo.

Jeshi la serikali ya Msumbiji pia ilisemekana kufanya uhalifu kabla ya Al Shabaab hao kufika kwenye huo mji wa Mocimboa, ilisemekana walitesa wananchi, kuua na ubakaji kitu kilichopelelea baadhi ya wananchi kujiunga na Al Shabaab hao hivyo kupelekea kuwazidi nguvu Jeshi la Msumbiji kwenye hio battle ya June 27.

Baadae Jihadists hao walikuja tena kuuchukua huo mji wa Mocimboa da Praia mwezi august mwaka huo huo wakikizidi jeshi la Msumbiji nguvu.

Hapa DAG hawakuingilia kati kutokana na kile kilichokua ni mashtaka kutoka Amnesty International.

Sasa hapo ndipo unielezee hao DAG ambao ni moja ya PMCs walienda kufanya nini..
Pale wanaenda kupambana na kutoa mafunzo. usifikiri wanakwenda kutoa mafunzo pekee.

Nikitafalari haya mashirika kama Amnesty yapo kutimiza maslahi ya wakubwa. Hio kazi wangeachiwa DAG kwa huo moto wao, Hao w@$3ng3 wangeshasambaa.
 
Rudi kwenye comment yangu. PMC na DAG sikuwaongelea. Niliwabold wale waliotoka mareka ni na UK eti kwamba walienda kusaidia kutokomeza magaidi.
 
Mkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...

Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua
Inasemekana Azory alikamatwa na watu wasiojulikana.

Wasiojilikana kila mmoja wetu unafahamu ni kina nani.

Akapotezwa sasa wanakuja waandishi na kuhadithia habari za mkwiru kana kwamba wamezifanyia uchunguzi ambazo azory hakipata fursa hiyo na kupotezwa.

Ndio maana nimeulizea mada hii yenye lengo la kuunasibisha uislam na ugaidi.

Je, HIVI MAGAIDI WENYEWE NDIO WANAOJIFUNGAMANISHA NA UISLAM au WAANDISHI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UGAIDI NA UISLAM?
 
Tulia bwanamdogo, now tupo 62ml, hivyo tunahitaji Ardhi ya kutosha.. 😋😋
Aisee! Ukichukua eneo la Tz ni roughly sq.Km 947,403 na ukigawanya kwa hiyo 62ml utakuta kila mtanzania (ukiacha watoto-mimba ambao hawakuhesabiwa ktk hiyo 62ml) kila mmoja atapata kilometa za mraba 1.5 -Hilo ni eneo kubwa sana kwa mtu mmoja.Huwezi kulizunguka kwa kutembea kwa miguu!
Halafu ukizingatia nguvu kazi (watu wenye uwezo wa kufanya kazi) iliyopo ni 40%? (hapo umeondoa watoto below 15yrs, Walemavu wa viungo na wazee 60yrs+) bado sana sana kuna eneo kubwa mno halijatumika/halijaguswa (Virgin land).
Kwa hiyo mkuu usihofu wala usiogope ipo ardhi ya kujimwaga utakavyo. Labda hafu yako inatokana na mtawanyiko wa watu na makazi yao e.g. kuna maeneo watu wamesongana sana e.g. Kilimonjaro na katika miji lakini yapo maeneo mengine hayana watu kabisa e.g. huko kusini mwa Tz. Ukanda wa Kati n.k.
Ndo mana huko kusini hayo majamaa wakaona ni mapori tu hayana wakaaji na yanataka kujiokotea eneo hilo.
 
Rudi kwenye comment yako mwenyewe kama huja bold wagner.

Majibu mengine tafuta google mkuu.
Ok! basi nitakuwa nilibold kimakosa. sijakusudia ingawa muzungu nu muzunbu tu, lakini kwa vile Wazungu wa Magharibi hawaelewani na hao wa mashariki.
 

Vita kuu ya kuuchafua Uislamu duniani ni DISINFORMATION.

Mwandishi wa makala hii analipa huu upupu alioumwaga. Hajaanza leo. Na analipwa na watendaji wa wasio waaminifu, wavuta bangi.

Ndio maana nimeuuliza mwanzoni tu.

Huu ujumbe wa makala unaolenga kuufungamanisha uislam na ugaidi.

Je, HIVI MAGAIDI WENYEWE NDIO WANAOJIFUNGAMANISHA NA UISLAM au WAANDISHI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UGAIDI NA UISLAM?

Tuseme nchi hii kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.

Tatizo la nchi la nchi yetu ni ubaguzi wa kidini tu hakuna cha ugaidi wa Waislam na Uislam.

......ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.


Nitaweka threat inayojitegemea waraka wa waislam kwa serikali ukiitahadharisha serikali iache kuwalea waandishi wote wa kikundi hichi kinachofadhiliwa kuuchafua uislam.

Kama serikali haina mkono wake tunahitaji wamtafute azori ili atueleze ukweli wa mambo
 
Mbona siku zote wanamtaja Allah au Mudi badala ya Jesus ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakina mollel sawa na kabendera
 
Mudi jau sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona siku zote wanamtaja Allah au Mudi badala ya Jesus ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nakuambia usome lugh kibao ujue hizo , Video za X wanataka jesus au God kwa lugha yao, unataka kusema wale wanapractise ukristo , wakina john sins wote hao tena na misalaba juu wanvaa .

Akili yako bado , tatizo elimu ya kuelewa maana .
 
Ndio maana nakuambia usome lugh kibao ujue hizo , Video za X wanataka jesus au God kwa lugha yao, unataka kusema wale wanapractise ukristo , wakina john sins wote hao tena na misalaba juu wanvaa .

Akili yako bado , tatizo elimu ya kuelewa maana .
Muslim brotherhood ni Kundi la kiislam
Al Qaida ni Kundi la kiislam
Ansar Sunar ni Kundi la kiislam
Mujahideen ni Kundi la kiislam
Alshabab ni Kundi la kiislam
Hezbollah ni Kundi la kiislam
Hamas ni Kundi la kiislam

Makundi yote hayo ni ya Kigaidi mbona huwa hayamtaji Yesu kama tatizo siyo uislam

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hayo makundi ymeunda na nn? Mbona nchi za kiislamu hayapo ? hayo yote yameunda na Mossad na mshirika wake Marekani kwa kupewa pesa .

Hamas imeanzishwa na Isreal ndio maana palestina kuna serikali mbili , Hayo kabla ya vita ya dunia hayakuwepo mpaka USA alipojifnya superpower ndio kayaanzisha yeye .
 

View: https://youtu.be/kOSHvIFY_LE?si=Ak-ux6mDX7ejnw3j

Uislamu hautambui hayo makundi ,kama ukitaka elimu utapewa yaani hata kujilipua kweny uislamu haitakiwi kabisa ...Hayo makundi n uislamu ni vitu viwili tofauti kila anayefuata ugaidi basi kajitoa kweny uislamu .

Mbona hawaendi kuhij Makkah.
 
Yameundwa na Waislam.
Hezbollah makao makuu ni Lebanon nchi ya kiislam
Al Qaidar makao makuu ni Qatar nchi ya kiislam
Mujahideen makao makuu ni Iraq nchi ya kiislam
Hamas makao makuu Palestina nchi ya kiislam
Muslim Brotherhood makao makuu Egypt nchi ya kiislam.
Alshabab makao makuu Somalia nchi ya kiislam.
ISIS makao makuu ni Syria na Yemen nchi za kiislam
Boko Haram makao makuu Nigeria Jimbo la Waislam.

Mbona hayapo nchi za wakrsto au unataka kusema Waislam ni wajinga sana kukubali makundi ya wàkristo yakae kwao kuchafua uislam wao?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nipe stori na ni makundi yemeanza juzi tu hapa baada ya shambulio ya Marekani 😀 😀 😀

Kundi kubwa la kigaidi ni lile la mauaji ya kimbali kutoka vatican , mauji ya watoto huku Gaza miaka na miaka ...

Hayo makundi lin yamepigana na Israel ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…