Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Kisayansi zaidi , nimependa sana ulivyo fanya mrejeo wa uhalisia. Shukrani sana
 
Barasu thanks for this veery useful post
 
Last edited by a moderator:
haikuwa siku ya hatari, wasi wasi wenu tu ulikuwa.
ila sasa ukweli wewe ukinywa hayo majivu ndo inakata nguvu kabisa, unaongeza muda hata masaa mawili na utamu kolea hadi kisogoni. kunywa afu unipe feedback

Mimi km mhandisi nitajaribu na nitarudisha mrejesho hapa. Maelezo zaidi please, precautions and a well dosage...
japo sijawah pata malalamiko sekta iyo, ila nitajaribu.
 
haikuwa siku ya hatari, wasi wasi wenu tu ulikuwa.
ila sasa ukweli wewe ukinywa hayo majivu ndo inakata nguvu kabisa, unaongeza muda hata masaa mawili na utamu kolea hadi kisogoni. kunywa afu unipe feedback

Utamu unaongezeka Kama vile utumiapo kitunguu swaumu na asali!!! Aaaachiiii....
 
Navyo unatumiaje?

Unamenya kitunguu saumu unakata pieces ndogondogo unachanganya na kijiko cha asali unameza daily.... but inafanya jasho linakuwa na harufu Kali Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…