Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Unamenya kitunguu saumu unakata pieces ndogondogo unachanganya na kijiko cha asali unameza daily.... but inafanya jasho linakuwa na harufu Kali Sana.

Shukrani... unameza bila ukomo?
 
TATIANA, ni asali ya nyuki wadogo au wakubwa? Mbichi au iliyochemshwa?
 
Last edited by a moderator:
Wengine akina sie ni mimama ila tunajazia tu ujuzi

Mbona sasa hatuoni maelezo yenye uhakika toka kwako :A S angel:

TOkea nianze kusoma huu uzi naona kama kuna wapiga chabo wenye kutaka kujua watazuia vipi mimba kwenye michepuo yao, sasa hakuna mwenye kutoa majibu ya uhakika na ndio maana haka kauzi kanakimbia kweli kweli
 

Hahahaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…