Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Ni njia nzuri sana mumie kuliko za hospital
Za hospital zinawasotesha sana.
Kalenda nayo kwa wenye waume ni shida tena. Duh sijui bora tu hiyo ya majivu unless madaktari waje wastate otherwise.
Asante cn mumy ila sijafaham unatumia kila cku kwa sababu mi natumia vijit lkn naona madhara Makubwa na sijapata mbadala wa kinga
Hapo sasa !! mie uchungu siyo mtumiaji..... uchungu mbegu zangu masikini mnazichakachuwa......!!Na sio watafuata yaan apo ni tunafuata kozi mm nlishatumia kwa mda mrefu.....kuliko kupata uvimbe na kansa za damu ni bora nitumie njia hii ya asil
Kabisa lol kalenda ukikosea kidogo tu unakoma na za hospital ndio shida kabisa
Hapo sasa !! mie uchungu siyo mtumiaji..... uchungu mbegu zangu masikini mnazichakachuwa......!!
Kalenda kwa wasiokuwa na waume wala walevi na wasio piga njunji mara kwa mara ndo wanaweza wakamaintain!
Hizo za hospital ni shida, kuna uzi mmoja humu watu wanalikuwa wanatoa ushuhuda..... madhara yake mpaka niliogopa!
Alikua anazipeleka wapi hizo mimba kila akizipata? Madame please taratibu ujueYaani ukiweza jaza hata mfuko kozi ni mazuri na hayana madhara nmekua nikitumia kwa mwaka wa pili sasa na pia kuna jiran yangu mmoja alikua akipata sana mimba tokea nmemshaur yamemsaidia sana tena sanaa
tembea uone!!!
ama kweli...!!
Siri ya mhifadhi amana (ndani) !!Hahahaaaa hahahaaaa mkuu umenichekesha sasa hapo
Hesabu.mbegu zako ngapi zmeteketea tofaut na majivu
Yaani mm kuna rafik yangu alikua anatumia sindano yaan amekondeana adi anatia huruma pia ana lalamika uke unatoa maji
Hahahaaaa hahahaaaa mkuu umenichekesha sasa hapo
Hesabu.mbegu zako ngapi zmeteketea tofaut na majivu
Alikua anazipeleka wapi hizo mimba kila akizipata? Madame please taratibu ujue
Kuna wengine pia vinawaletea chango.