Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Haviwekwi kwa papuchi mkuu inawekwa mkononi kwa juu karibia na alama ya sindano ya ndui viko ka plastic unafanyiwa operation ndogo ka unataka three years wanaweka vitatu one year madhara yake ni hatari, kuumwa kichwa, mimba kutungwa hafu na kuharibika kizungu zungu, Kansa, pia vinatabia ya kuzidi kuingia ndani kwa kupitia mshipa hadi karibia na moyo ni hatari Sana mkuu.
Mhhhhhhh
Mnatishana mno hadi nmeshangaa!!haswa hapo kuwa kijiti kinazama zaidi na kusogea karibu ya moyo...tehh!!Mbona waguna ebu funguka vizuri ka una jipya.
Mnatishana mno hadi nmeshangaa!!haswa hapo kuwa kijiti kinazama zaidi na kusogea karibu ya moyo...tehh!!
hakuna side effect hio ndio kikikosea kuwekwa kinaweza kupotea lkn hakiendi kwenye moyo!!!sio kutishana imetokea kwa watu wengi nimeshuhudia adha waliyo pata kwenda kutolewa hivo vijiti bora kujua side effects zake tu kiundani.
Kwa sie wenye aleji nazo na mbao zinawapwaya wafanyeje?Tumia condom
Tafuta ya msonobari ndio mazuri zaidi.Sorry!! Majivu ya mti wowote au?
umenikumbusha mbali weweMmm bora kama vp nizae tuu, majivu apana, kuna mimba nyengine visirani hazisikii dawa wala sindano, naikishaingia kutoka kazi utaruka Kamba panda ngazi 100 inakutizama tuu, hiyo mimba inaitwa utaniza Unataka usitake ....
REGULAR SEASON
# Team P
1 Young Africans 46
2 Azam 39
3 Simba 35
4 Kagera Sugar 31
5 JKT Mgambo 28
6 Mtibwa Sugar 27
7 Stand United 27
8 Coastal Union 27
9 Ruvu Shooting 26
10 Mbeya City 25
11 Ndanda 25
12 Ruvu Stars 24
13 Tanzania Prisons 21
14 Polisi Morogoro 21
na hayo majivu anaweka kiasi gani au vijiko vidogo/vikubwa vingapi kwenye glasi ya maji. au unaweka tani yako
mwanamme akinywa inaweza protect?
YOU gonna kill some innocent pippo !!! mada yako inahatarisha maisha na afya za wanaadamu "ukiua mmoja kamaa uliyeua umati" (majivu huwa yana mchanganyiko wa sumu kutokana na mchanganyiko wa miti na mizizi) Tuchukuwe taadhari Sweetheart naja huania mbaya weewataka rahisisha LAKINI mmmh!!