Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

best advice ever!kama hajaelewa hapa haelewi milele..
 
Nguvu ya kutoka Ndani ya Mtu in nguvu kuliko ya nje

Mshirikishe Mungu utakua Huru ndugu
 
Hii ni dawa ambayo mtu akinywa hatakiwi kunywa pombe pombe kwa siku 14 (wiki mbili). mtu akinywa pombe akiwa ametumia hii dawa hupata madhara mabaya sana. hupata kichefuchefu, moyo kwenda mbio, tumbo kuuma, kizunguzungu, kuzimia kupata tabu kupumua, kutapika na kuchanganyikiwa.mtu akitumia hii hatakiwi hata kugusa pafyumu zenye pombe.
 
yani unakunywa dawa wakati hauumwi?ebu kuweni serious hayo madawa hayana maana[emoji481] [emoji481]
 
Mbali na tiba ya saikolojia je naweza pata dawa za kupunguza ama kuacha kabisa pombe na je sumu aliyo mwilini inaweza kutoka
 
Ndiyo unaweza.

Sent from my Apple iPhone 7 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…