Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Weka na dawa ya kuacha kupiga punyeto... Hata laki nitalipa
 
unanunuaga mwenyewe?
Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
 
kwani akikununulia lazima uende nae chumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…