Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Ipo, ni kujiuliza ivi nani bosi kati yako na hicho kimiminika kinachofungiwa kwenye chupa? ukishajua kumbe wewe ni bosi basi utaanza kuicontrol si yenyewe ikupelekepeleke
 
Ipo, ni kujiuliza ivi nani bosi kati yako na hicho kimiminika kinachofungiwa kwenye chupa? ukishajua kumbe wewe ni bosi basi utaanza kuicontrol si yenyewe ikupelekepeleke
Kweli Faza umenena sawa sawia
 
[emoji2] sawasawa wanasema mdogomdogo ila usilewe ila kumbuka pombe sio chai,
Siku ukikosea mlango ukaingia chumbani Kwa mkwe nadhani hutataka ushauri uache au uendelee
Kuna dada ana lalamika eti mumewe akilewa akirudi anafungua friji anakojolea humu akidhani anafungua mlango wa toilet hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…