duh baada ya hizi bia mzigo ni nje njeWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Una strees gani? But kumbuka pombe haitoi strees ila inaongeza zaidi pindi unapopiga vyombo. Ingawa utapata usingizi kwa mda mfupi na kujihisi kusahau strees zote ila unapoamka unabaki kama ulivyokuwa mwanzonatamani unifundishe initoe stress
CC Nabii Tito.Inakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
Sio unafikiria , huo ndo uhalisia mkuu!Samahani kwa kutoka nje ya mada, Mwanamke yoyote nikimuona na tatoo huwa namfikiria ni malaya/kahaba sijui kwanini!!
Hamna we kunyw tyu kama wajipendaWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!