Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Mvunjie mayai matatu kwanza pale kwa fasi then muone reaction yake kesho yake tungi likiisha.

Jamani tiba zingine mtazame mnampa nani, mdingi ako kweli unaweza mpa dawa ya kisela namna hiyo????

Ila Mtwara kuna mchizi alikuwa anaitwa ally yeye kaacha kabisa baada ya masela wenzie kumvunjia yai moja na kumiksi na tu unga wa wangano kidogo. Jamaa walimpa ofa ya monde akafakamia kinouma nouma alipozima walimpeleka katika pagala wakashusha suruali mpaka kwenye mapaja na kibaridi cha alifajiri kilimptia kustuka saa moja wananzengo wamemzunguka, lakini alikumbuka kwamba alikuwa na kina Dulla kabla ya kuzima. alijifungia ndani siku tatu na alijua keshaliwa manake alipojigusa siku ya tukio aliona utelezi toka siku hiyo hawajamuona tena akipombeka.

Dawa zingine chungu kama mdingi anazingua apewe tu.
 
Siwez kukubali mazaa apigwee kila sku kwa starehe zake baba nampa tu kipondo hata laaana szan kama itanifikia maana nitakuwa nimefanya jambo jemaaa
Ukifanya hivyo mamaako utamkoma yani umpigie bebi wake akuangalie, we uliwakuta na mapenzi yao. Halafu ushakua mtu mzima hama kwenu
 
Chama, dawa ni ndogo sana:
Saga Mavi ya kuku arafu mvizie umuwekee huo unga kwenye Pombe yake atatapika sana. Kuanzia hapo akiifikilia Pombe anatapika na ndio mwisho wa kukamata Kinywaji.
Jitahidi asikuone atakumaindi, jitahidi hiyo issue ufanye mwenyewe usimshirikishe mtu.
 
Namfahamu ndugu mmoja, yeye aliacha pombe baada ya kuombewa Katika Jina la Yesu na kuokoka. Inasemekana siku chache baadaye alienda kula chakula hotelini (restaurant wanakouza pombe pia ) akapewa maji kwenye glasi inayotumika kunywea bia pia. Alipokunywa yale maji ile harufu ya mbali kabisa ya bia ilimfanya atapike chakula chote. Huo ukawa muujiza wake na uthibitisho wa wokovu wake.
 
Daaah mlikosesha Mzee starehe..
 
Mtoa mada una miaka mingapi??

Hapo nyinyi na maza wenu ndio mnazingua dingi so baba yako kagundua sawa

Maana haingii akilini kabisa mpaka umefikia UWEZO wa kuanzisha Uzi Jf inamaana we n MTU mzima na ndoa ya baba yako na mama INA muda my b kama baba yako sio huyo na mama yako ndio kaolewa karbuni..

Pombe ni dawa
 
mmoja wenu awe anavaa nguo kama za mama yenu kichapo kikianza anazibwa uso halafu mama anaondolewa yule impostor anampa kichapo kikali mdingi atadhani mama amekuwa vandame mwisho mchezo anatokea mama na kufanya brag kama za watu wwe mzee atatulia tu
 
Hahah si unaona mkuu jinsi Ally mayai hio tiba ilivyomsaidia mkuu.Bila maamuzi hayo magumu asingeacha pombe huyo mshkaji.
 


*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*πŸ‘‡πŸ½

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!




*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

KIGAMBONI SOBER HOUSE Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*πŸ‘‡πŸ½

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
Wewe lewa tu! Siku ukifukuliwa viazi utaacha pombe mwenyewe
 
Jamani mbona vyombo vya dola si vipo?Awekwe ndani kisha afunguliwe kesi ya domestic violence, hoja ufike hadi kazini kwake,halafu tuone mahakama itaamuaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni changamoto kubwa kuwa na mzazi wa aina hiyo....

Mambo ya familia huwa yana siri nyingi sana kwenye vifua vya wana ndoa...ndio maana kuna baadhi ya wanandoa wanaamua kuwa walevi ili kupunguza msongo wa mawazo kwa kuwa hawaoni njia nyingine zaidi ya hiyo.....!!

Kwa ujumla Hayo mambo ya wazazi lakini kama yana hatarisha usalama wa mmoja wapo basi mnapaswa kuchukua hatua mara moja Kwani si ishara nzuri.....

Mnatakiwa kwanza mjaribu kuzungumza na baba yenu kupitia wazee wenzake wanaopatikana kwenye eneo hilo ajue jinsi gani msivyopendezwa na tabia yake hiyo!!!!....

Baada ya hapo ndio mchukue hatua zingine lakini msithubutu kuinua mkono dhidi ya mzazi wako!!!....
 
Dawa ya kuacha pombe ipo ila ni kuwa busy tu na shughuli za kiuchumi huku ukijiunga na wadau wanaokunywa pombe kwa afya yaani wale wazee wa "one for the road" ....utajikuta unapunguza kasi ya unywaji wa mara kwa mara mwisho wa siku hata uiacha kabisa inakuwa ni rahisi hivyo anzisha project kubwa ya maendeleo inayokufanya utumie asilimia kubwa ya kipato chako maana wakati mwingine watu tunakuwa walevi ni kutokana na kutokuwa na shughuli ya kufanya na mwisho wa siku unakuwa bored na kwenda maeneo ya tukio kufanya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…