Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Ndiyo wakuu.
Napenda sana uzinzi kwa wanawake tofautitofauti, si mabinti, si wamama , si wake za watu, si wazee n.k n.k .
Mbali na hilo napenda sana kunywa pombe ( bia) aina ya safari lager ndogo ( mwendokasi).
K
Kila hela ninayopata lazima nimege kaportion kidogo kwa ajili ya kutimiza hayo malengo makuu mawili.
Nikimuona mke wangu na mtoto naumia sana ila nashindwa kujizuia kabisa.
Ushauri tafadharini wanaJF