masai sendoz
Member
- Aug 30, 2018
- 23
- 28
Kama unafanya kazi omba ufukuzwe,na kama umejiajiri subiri ufilisike mkuu hata dushelele haita simama utaacha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwasiliane na mwenyekiti tuitishe kikao fasta
Kosa 1 kubwa ni kuacha pombe ambapo kwa mujibu wa sheria yetu anapunguza idadi ya walipa kodi hyo tutampa adhabu kali sana
Fine yake ni kutununulia kreti 20 za bia na mizingaaa 10 bombadier ya nyagi pamoja na kvant
Ova
Badirisha mfumo wa maisha yakoNdiyo wakuu.
Napenda sana uzinzi kwa wanawake tofautitofauti, si mabinti, si wamama , si wake za watu, si wazee n.k n.k .
Mbali na hilo napenda sana kunywa pombe ( bia) aina ya safari lager ndogo ( mwendokasi).
K
Kila hela ninayopata lazima nimege kaportion kidogo kwa ajili ya kutimiza hayo malengo makuu mawili.
Nikimuona mke wangu na mtoto naumia sana ila nashindwa kujizuia kabisa.
Ushauri tafadharini wanaJF
Ndiyo wakuu.

Mwamini YESU atakuokoaNdiyo wakuu.

Acha pombe ili uepuke madhara yanayotokana na pombeHahaaa niache ili iweje mkuu, be serious sometimea