Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.

Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
Damiss unaijua laana ya kupiga mzazi wako wewe?
Chezea kitu kingine kuliko kupiga wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe maziwa ya nguruwe akinywa pombe atataapika balaa!!
Mwishoni ataona ni ujinga anamaliza pesa zake tu hapo ndio ataacha mazima
 
Mbinu mpya ya kuwapiga watu..unawaita hivo halafu unawaelekeza ofisini,sasa wakija kadi na kumuona daktari ni 10000...kwahiyo ht wasipolipa kumbe dawa ni 10000 sio 50000,50k ni bei ya mkopo[emoji28][emoji28][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
Hakuna dawa yoyote kama wewe hujaamua
 
Chukua Flagyl vidonge vinne meza halafu kunywa safari lager kama tano hivi, hutaishi usikie hamu ya pombe tena.
 
Back
Top Bottom