Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Dawa ya kukusaidia ni kufunga na kusali tu...DANIELI 9:3-5, kwa mwenyezi Mungu kila kitu kinawezekana.Ndiyo wakuu.
Napenda sana uzinzi kwa wanawake tofautitofauti, si mabinti, si wamama , si wake za watu, si wazee n.k n.k .
Mbali na hilo napenda sana kunywa pombe ( bia) aina ya safari lager ndogo ( mwendokasi).
K
Kila hela ninayopata lazima nimege kaportion kidogo kwa ajili ya kutimiza hayo malengo makuu mawili.
Nikimuona mke wangu na mtoto naumia sana ila nashindwa kujizuia kabisa.
Ushauri tafadharini wanaJF
[emoji848]Dawa ya kukusaidia ni kufunga na kusali tu...DANIELI 9:3-5, kwa mwenyezi Mungu kila kitu kinawezekana.
Dawa yake nenda pale central police. Mtafute mkuu wa polisi mpige mitama ya kufa mtu. Utafungwa miaka mitatu ukitoka huko uko safii unaokoka fullNdiyo wakuu.
Napenda sana uzinzi kwa wanawake tofautitofauti, si mabinti, si wamama , si wake za watu, si wazee n.k n.k .
Mbali na hilo napenda sana kunywa pombe ( bia) aina ya safari lager ndogo ( mwendokasi).
K
Kila hela ninayopata lazima nimege kaportion kidogo kwa ajili ya kutimiza hayo malengo makuu mawili.
Nikimuona mke wangu na mtoto naumia sana ila nashindwa kujizuia kabisa.
Ushauri tafadharini wanaJF
Hatoki mtu labda huyu hivi punde kaambiwa na wakubwa hakuna teuzi mpaka apunguze.Chama kinakimbiwa na wanachama khaa katibu unaona huyu memba
Nmemuona tutamshulikia mbn sisi wanywaji lkn syo wazinzi....lzma tumpeleke kwenye mahakama yetu ya wanywajiChama kinakimbiwa na wanachama khaa katibu unaona huyu memba
Sawa mheshmiwa katibu mkuuNmemuona tutamshulikia mbn sisi wanywaji lkn syo wazinzi....lzma tumpeleke kwenye mahakama yetu ya wanywaji
Ova
Iyo hali ya kutaka kuacha hayo unayofanya , tiyari umeshaanza kupona , cha muhimu chukua hatua zaidi, ya kusikiliza maoni chanya zaidi yanayokuasa kuacha pombe na hiyo.kitu wanawake za watu, badilisha mazingira yanayopelekea kuiona pombe na wanawake wa watu , tumia muda mwingi kua na famalia yako , unapokumbuka pombe , ingia kwenye maombi umuombe Mungu akusaidie, mwisho wewe na Mungu ndio mtakaomaliza iyo shida.Ndiyo wakuu.
Napenda sana uzinzi kwa wanawake tofautitofauti, si mabinti, si wamama , si wake za watu, si wazee n.k n.k .
Mbali na hilo napenda sana kunywa pombe ( bia) aina ya safari lager ndogo ( mwendokasi).
K
Kila hela ninayopata lazima nimege kaportion kidogo kwa ajili ya kutimiza hayo malengo makuu mawili.
Nikimuona mke wangu na mtoto naumia sana ila nashindwa kujizuia kabisa.
Ushauri tafadharini wanaJF
Ngoja niwasiliane na mwenyekiti tuitishe kikao fastaSawa mheshmiwa katibu mkuu