Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Habarini za wakati huu wote humu
Mimi kila mwaka najiwekea malengo za kufanya jambo/mambo flani au kuacha vitu/tabia ambazo zinanirudisha nyuma kimaendeleo.

Mwaka unaoisha nilipanga sichepuki na nikaweka mikakati namna ya kupambana na hilo. Nashukuru Mungu nimeweza hilo.

Mwaka huu nahitaji kuacha pombe, japo nimepunguza kwa kiwango kikubwa. Maana mwanzoni sikuweza kulala bila kunywa ila kwa sasa naweza bila tatizo japo kuna watu imebidi nikosane nao ili nifikie hatua hiyo.

Ishu inayonitatiza ni kuwa nahisi nisipokuwa makini ntarudi kulekule kwa sababu hamu ya kunywa haijaisha ila najikaza sana.

Nachowaomba ni kujua, je hakuna dawa ya kumfanya mtu aione kama uchafu flani hivi ili nisiwe naitamani? Nilishawahi kusikia watu wanaongea kuwa ipo lakini sina ushahidi kama kweli ipo. Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa pombe zilizopo mpaka ziishe, hii ndio dawa ya ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ndogo sana hiyo mkuu

Mkuu ,nakupa dawa niliwahi kusikia inaponya sana na wanaitumia sana Uganda kama unavyojua waganda walevi kupindukia ,
wengine hufikia hatua kama ya kwako kutaka kuacha ,

DAWA NI MOJA TU
CHEMSHA KONDOM KWENYE NDIZI ,
ALAFU KULA BILA KUWAZA CHOCHOTE NA SUPU PIGA KAMA YOTE , HAUTAKUNYWA POMBE MILELE

Nenda ubungo river side pale darajani kama ukiwa unatokea mwenge mkono wa kushoto kuna mmasai,nenda muulize hilo tatizo mtoe hata jero,hutokaa urudie pombe kama hatokuwepo kuna dogo ana duka la jumla umuulizie alipo huyo mmasai ni wa kitambo sana pale ni nyuma ya pale baada ya daraja,tatizo lako litaisha.
 
Alhamdulillah nimebakiza hizi siku mbili jumamosi na jumapili naaimini ntashinda ni uthubutu tu

Nilazima pia ubadili ratiba ya mambo yako Kama unanafasi jioni kafanye mazoezi, tafuta vitabu vya stories ambavyo utakua nahamu na mwendelezo wake

Ukiona unakiu kimekushika rudi home fasta cheki muvi na hakikisha unakua muongo kwa jamaa zako kwani sm zitakua nyingi Sana zikikutaka uwahi mjumuiko usiwaentertain kabisa marafiki vyapombe wakila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmhhh hii sasa
Mkuu ,nakupa dawa niliwahi kusikia inaponya sana na wanaitumia sana Uganda kama unavyojua waganda walevi kupindukia ,
wengine hufikia hatua kama ya kwako kutaka kuacha ,

DAWA NI MOJA TU
CHEMSHA KONDOM KWENYE NDIZI ,
ALAFU KULA BILA KUWAZA CHOCHOTE NA SUPU PIGA KAMA YOTE , HAUTAKUNYWA POMBE MILELE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ubungo river side pale darajani kama ukiwa unatokea mwenge mkono wa kushoto kuna mmasai,nenda muulize hilo tatizo mtoe hata jero,hutokaa urudie pombe kama hatokuwepo kuna dogo ana duka la jumla umuulizie alipo huyo mmasai ni wa kitambo sana pale ni nyuma ya pale baada ya daraja,tatizo lako litaisha.
Ntaenda kujaribu, angalau wew umenipa jibu lenye matumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu sana ila niliporudia ujinga huo nikajikuta naongeza mara 2 zaidi ya juzi. Niliwahi kuacha pombe for 2 yrs. Niliporudia nikawa chapombe.
Ila, tangu nikutane na huyu Mwanamume aitwaye Yesu Kristo Mnazareti. Akaniokoa, leo ni zaidi ya miaka 39 sijawahi, nasema tena; Sijawahi hata kuitamani tena. Maisha yamekuwa Swafiii kama ulaya.
Jaribu njia/dawa hiyo. Yesu Kristo Mnazareti. Matayo 11:28 Njooni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka na kelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Kwisha[/QUOTEPia acha tabia ya kutembela sehemu zenye vinywaji nakataa kuambatana na marafiki zako kwenda sehemu Ndani ya mwezi mmoja mzuka was kiu ya pombe utakimbia wenyewe .Kisha rudi hapa kutupatia mrejesho.
 
Back
Top Bottom