Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Dawa ya pombe ni pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mimi niliwah kusikia dawa hiyo ipo Lakini sikumbuki wapi!!!! Tajitahid kesho kumuuliza jamaa yangu mmoja Weka namba yako ya simu na ulipo kesho takugongea uzi kukujulishaHabarini za wakati huu wote humu
Mimi kila mwaka najiwekea malengo za kufanya jambo/mambo flani au kuacha vitu/tabia ambazo zinanirudisha nyuma kimaendeleo.
Mwaka unaoisha nilipanga sichepuki na nikaweka mikakati namna ya kupambana na hilo. Nashukuru Mungu nimeweza hilo.
Mwaka huu nahitaji kuacha pombe, japo nimepunguza kwa kiwango kikubwa. Maana mwanzoni sikuweza kulala bila kunywa ila kwa sasa naweza bila tatizo japo kuna watu imebidi nikosane nao ili nifikie hatua hiyo.
Ishu inayonitatiza ni kuwa nahisi nisipokuwa makini ntarudi kulekule kwa sababu hamu ya kunywa haijaisha ila najikaza sana.
Nachowaomba ni kujua, je hakuna dawa ya kumfanya mtu aione kama uchafu flani hivi ili nisiwe naitamani? Nilishawahi kusikia watu wanaongea kuwa ipo lakini sina ushahidi kama kweli ipo. Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona babu unatafuta sadaka hapo kanisani kwako ziongezeke!Nilijaribu sana ila niliporudia ujinga huo nikajikuta naongeza mara 2 zaidi ya juzi. Niliwahi kuacha pombe for 2 yrs. Niliporudia nikawa chapombe.
Ila, tangu nikutane na huyu Mwanamume aitwaye Yesu Kristo Mnazareti. Akaniokoa, leo ni zaidi ya miaka 39 sijawahi, nasema tena; Sijawahi hata kuitamani tena. Maisha yamekuwa Swafiii kama ulaya.
Jaribu njia/dawa hiyo. Yesu Kristo Mnazareti. Matayo 11:28 Njooni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka na kelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Kwisha
Mawazo potofu kama hayo hayana budi kusikika. Unamjua anayeomba msaada wa dawa anakaa wapi au ni mtu wa wapi?? Usinipakazie miye wala sijamwambia aje PM. Nimesema, Dawa ya kuacha uovu sio jela wala kujitesa. Ni Yesu tu
Habarini za wakati huu wote humu