Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Maamuzi tu.....yako
Mimi ni mnywaji tena kila siku nakunywa...
Mbona sahv nmepumzika Nna siku 6 sijagusa pombe ....kuacha pombe ama kupumzika ni maamuzi yako!
Tatizo watu wanataka wadekezwe wapewe sympathy ili waache kitu fulani.....
Wewe ni kaamua mwenyewe tu kuacha ama kupumzika

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi tunaoweza kujicontrol maisha yafaa nini bila ya Gambe Bro kama unaweza jicontrol tafuta vitu vingine vya kuacha sio Gambe
 

Katibu upo huku unafundisha wadau waache kulipa kodi???[emoji23][emoji23]
 
Kunywa pombe sio ufala , kama wewe ni mkristo unamwitwa bwana Yesu fala kwa kitendo cha kubariki maji yakawa pombe . Mimi ninapopiga serengeti mbili mchanganyiko wa moto na baridi formula zote za hesabu zinaibuka kwenye akili .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WOKOVU pekee kwa jina la YESU
 
Wakuu kwema?
Kuna rafiki yangu anakunywa pombe sana na naona kama sio rahisi kuacha japo nimekuwa nikimshauri mara kadhaa.

Sasa jana kaenda kunywa kamaliza pesa zote kaamka hana kitu anajuta sana, inaonekana anahitaji ushauri wa ziada au dawa ili kuacha.

Nawasilisha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…