Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serous !! MkuuMaziwa ya nguruwe ayanywe akiwa ameshakunywa pombe..
Njia rahisi ya kuacha pombe ni kupunguza sifa za kijinga, wengine hunywa bia nyingi ili kuwaaminisha watu kwamba wana pesa nyingi pia ni wanywaji hodari.Wakuu kwema?
Kuna rafiki yangu anakunywa pombe sana na naona kama sio rahisi kuacha japo nimekuwa nikimshauri mara kadhaa.
Sasa jana kaenda kunywa kamaliza pesa zote kaamka hana kitu anajuta sana, inaonekana anahitaji ushauri wa ziada au dawa ili kuacha.
Nawasilisha !
Kama upo serious njoo pm ila kama unatania potezea[emoji120]Wakuu kwema?
Kuna rafiki yangu anakunywa pombe sana na naona kama sio rahisi kuacha japo nimekuwa nikimshauri mara kadhaa.
Sasa jana kaenda kunywa kamaliza pesa zote kaamka hana kitu anajuta sana, inaonekana anahitaji ushauri wa ziada au dawa ili kuacha.
Nawasilisha !
Akojoe mkojo kwenye ğlass, nusu hivi, halafu achanganye na bia, kisha änywe.
Ataharisha na kutapika sana. Kila asikiapo harufu ya bia lazima atapike sana
Saidia hapa hapa ata wengine tuna ndugu wana shida iyoKama upo serious njoo pm ila kama unatania potezea[emoji120]
Mtu anaetanguliza PM ujue ana tatizo mkuuSaidia hapa hapa ata wengine tuna ndugu wana shida iyo
Au anataka akamlize nn huko pm[emoji3]Mtu anaetanguliza PM ujue ana tatizo mkuu
Umeshauri vyema na inawezekana kabisa, nilikuwa mlevi mbwa na nikatumia almost the same approach isipokuwa hiyo ya kusoma neno la Mungu. Nadhani kwa mnywaji wa kawaida wa pombe hakuna haja ya kuacha, ila kwa walevi sugu kuacha ni lazima kwa kweli, madhara yake si haba.Kuacha pombe sio kazi ngumu kama unavyoamini wewe.
Hao wahanga wa hizo pombe wakifata huo ushauri mdogo utawasaidia sana
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Watu wengi wanatamani kuacha pombe hasa ukizingatia na matokeo mabaya baada ya kunywa pombe kama kutojali familia, kumaliza kipato, magonjwa hasa ya uzinzi yanayopatikana kwa ngono zembe baada ya kulewa, mwili kudhoofu n.k
Sasa watu wengi wanaujiuliza namna Nzuri ya kuacha pombe ila wanashindwa mwingine akiwa hana ela anaapa kabisa naacha pombe ila akishapata ela anarudi tena kunywa pombe.
Ili uache pombe fuata njia ifuatayo ambayo ni nyepesi kuliko nadharia zingine unazosikia
Kwanza acha pombe ukiwa na ela za kutosha kwamba hauachi pombe kwa sababu hauna bali unaacha pombe sababu umeamua kufanya hivyo, hiyo itakusaidia sababu hata ukitamani kununua bia hauta nunua sababu hauiitaji Bali sio sababu hauna ela
Pili ukishaamua kuacha pombe tafuta jambo la mbadala la kufanya mda ambao ulikuwa unakunywa pombe sababu watu wengi wanashindwa kuacha pombe sababu ya kukosa jambo mbadala la kufanya mda ambao walikuwa wanakunywa pombe, jambo la kufanya hapa kwa wenye familia ni kuimarisha mahusiano mazuri na familia yako kama kuwafundisha Watoto home work, kumsaidia mkeo kazi ndogo za Nyumbani kama kupalilia bustani n.k pia jambo lingine la kufanya ni kusoma Vitabu vya Mungu, hii itakusaidia sana sababu ukiwashakuwa na hofu ya Mungu itakuwa rahisi sana kuacha pombe.