FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Pombe ni kisababishi tu, ila kinachomaliza pesa ni totoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jina lako tu linaonesha we na hiyo kitu ni mpaka Mungu awetenganishe!.Wakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
Kweli wewe ni BEBERU MWITU mwenzako anaomba ushauri vizuri we we unamjibu kejeli,iko Siku nawe utajibiwa hivyo.Weka nnya kwenye pombe, nakuahidi utaichukia na hutokunywa tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Mkuu hiyo siyo kejeli, binafsi niliacha pombe kupitia njia hiyo.Kweli wewe ni BEBERU MWITU mwenzako anaomba ushauri vizuri we we unamjibu kejeli,iko Siku nawe utajibiwa hivyo.
Nnya ndio nini mkuu?Weka nnya kwenye pombe, nakuahidi utaichukia na hutokunywa tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
M[emoji90]A[emoji90]V[emoji90]I[emoji90]Nnya ndio nini mkuu?
Hatua ya kwanza kabisa badili avatar yako.Wakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
Ukipata dawa ya kuongeza hamu ya kunywa pombe nishtueWakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
Ila huko utakapokuja kuingia baada ya kuacha ndo kuna gharama mara dufu.asikudanganye mtu binadamu kaumbwa kufanya kazi na kupumzisha akili,sasa huko kwenye kupumzisha akili kunatofautiana kati ya mtu na mtuWakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
kiufupi sipendi mtu anayetaka kuacha pombe sababu ya kumaliza hela,wanaomaliza hela zako ni aina ya watu unaokunywa nao,i.e mademu na marafiki wagongea pombe(parasites)Hatua ya kwanza kabisa badili avatar yako.
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
HahaSema tuu umeishiwa huna hela wewe mi mwenyewe ni kama wewe ila nikipata hela nakunywa
Ukweli huo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Haha